Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.

Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja sana kufanya mambo yao kuliko ya kitaasisi, Lissu anachangiwa na demu wake Maria Sarungi hadi leo wanahaha kuchangisha na chadema wameuchuna tu, leo yule fala aliyechana picha ya presidaa kakombolewa kwa michango ya watu wa kabila la Mbowe.

Ndugu yangu Lissu, kama unanisoma nakushauri sana achana na Chadema, Mchungaji Msigwa alibaini haya maupuuzi mapema tu.

Halafu nyie jamiiforuma mkiona post ya kuisema Chadema haikai sana hapa mtandaoni mnaiondoa, zile za kutukana serikali na chama ndio mnazipa kipaumbele.
 
Wewe mambo ya Chadema yanakuhusu nini?
 
Hiki n kitu mojawapo kinachoniudhi kutoka chadema, wao kila mpinga ccm/serikali ni mtu wao
 
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.

Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja sana kufanya mambo yao kuliko ya kitaasisi, Lissu anachangiwa na demu wake Maria Sarungi hadi leo wanahaha kuchangisha na chadema wameuchuna tu, leo yule fala aliyechana picha ya presidaa kakombolewa kwa michango ya watu wa kabila la Mbowe.

Ndugu yangu Lissu, kama unanisoma nakushauri sana achana na Chadema, Mchungaji Msigwa alibaini haya maupuuzi mapema tu.

Halafu nyie jamiiforuma mkiona post ya kuisema Chadema haikai sana hapa mtandaoni mnaiondoa, zile za kutukana serikali na chama ndio mnazipa kipaumbele.
chadema ni wamoja kila kitu kinakwenda kimkakati acha kuteseka dogo kutolewa
 
Na wewe unatetea upinde 😀 😀
 
Watu huwa hamkosi la kuongea au kuandika, hata huyo Mbowe angekuwa anahamasisha michango ya ununuzi wa gari la Lissu bado mngeongea tu. Sometimes jifunze kukaa kimya tu kwa sababu kufuatilia sana mambo ambayo hayana masilahi yako ni kujichosha tu.
 
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.

Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja sana kufanya mambo yao kuliko ya kitaasisi, Lissu anachangiwa na demu wake Maria Sarungi hadi leo wanahaha kuchangisha na chadema wameuchuna tu, leo yule fala aliyechana picha ya presidaa kakombolewa kwa michango ya watu wa kabila la Mbowe.

Ndugu yangu Lissu, kama unanisoma nakushauri sana achana na Chadema, Mchungaji Msigwa alibaini haya maupuuzi mapema tu.

Halafu nyie jamiiforuma mkiona post ya kuisema Chadema haikai sana hapa mtandaoni mnaiondoa, zile za kutukana serikali na chama ndio mnazipa kipaumbele.
Duuh!
 
Kuna kijana fala zaidi ya baba yako? Badala apige nyeto akaamua kutungisha mimba siku wa wajinga na kutufanya mpaka sasa tunapoteza mda kusoma matapishi na usaha.​
 
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya.

Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja sana kufanya mambo yao kuliko ya kitaasisi, Lissu anachangiwa na demu wake Maria Sarungi hadi leo wanahaha kuchangisha na chadema wameuchuna tu, leo yule fala aliyechana picha ya presidaa kakombolewa kwa michango ya watu wa kabila la Mbowe.

Ndugu yangu Lissu, kama unanisoma nakushauri sana achana na Chadema, Mchungaji Msigwa alibaini haya maupuuzi mapema tu.

Halafu nyie jamiiforuma mkiona post ya kuisema Chadema haikai sana hapa mtandaoni mnaiondoa, zile za kutukana serikali na chama ndio mnazipa kipaumbele.
Tunangoja Mama yako au Baba yako watekwe tuchange pia, Jitoe tu ufahamu
 
Back
Top Bottom