Uchaguzi 2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

Sasa uchanganyikiwa kwetu haimhusu msajili sisi tunasema hatuwezi kuchanganyikiwa
Wewe ni nani ututukane
Mwambie asajili vyama...... hata Tukiwa vichaa kabisa tutaenda mirembe
Msajili anawatetea wale watakaochanganyikiwa.
wewe haumo kamanda.
 
..yapo maeneo wananchi wanapigia vyama tofauti kura za uraisi, ubunge, na udiwani.

..hii habari ya kusema chadema na act wanawachanganya wananchi ni uzushi tu.
Hata mimi 2015 nilimpigia Sugu (Ubunge) na Mwangambako (Udiwani) wa CHADEMA ila URAIS niliwaachia Lowasa wenu nikampa Magufuli.
This year tena chama kimetuletea yule aliyetuletea Lowasa 2015 eti ndo tumpe urais.
Natafakari bado.
 
Wao wawaache watajua namna ya kuwaelewesha wananchi. Sheria inawazuia coalition siyo collaboration.
 
Jambo hili limeshasemwa na waandamizi wa vyama hivyo na tayari lipo katika mind za wqpiga kura. Kwahyo Mpiga kura tayari ameshasikia kuwa kwa upande Tanzania bara ACT Wazalendo wao wamemuunga mkono Lissu lkn upande wa Zanzibar Chadema wanamuunga Maalim Seif.

Kwahyo kuendelea kuongelea ni kuexagrate Jambo Hilo na kutengeneza awareness kwa wananchi
 
Hata mimi 2015 nilimpigia Sugu (Ubunge) na Mwangambako (Udiwani) wa CHADEMA ila URAIS niliwaachia Lowasa wenu nikampa Magufuli.
This year tena chama kimetuletea yule aliyetuletea Lowasa 2015 eti ndo tumpe urais.
Natafakari bado.

..safi sana.

..umeitumia haki yako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…