Msajili anawatetea wale watakaochanganyikiwa.Sasa uchanganyikiwa kwetu haimhusu msajili sisi tunasema hatuwezi kuchanganyikiwa
Wewe ni nani ututukane
Mwambie asajili vyama...... hata Tukiwa vichaa kabisa tutaenda mirembe
wewe haumo kamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msajili anawatetea wale watakaochanganyikiwa.Sasa uchanganyikiwa kwetu haimhusu msajili sisi tunasema hatuwezi kuchanganyikiwa
Wewe ni nani ututukane
Mwambie asajili vyama...... hata Tukiwa vichaa kabisa tutaenda mirembe
Hakuna mtu atakae changanyikiwa hio ni sababu ya kisiasaMsajili anawatetea wale watakaochanganyikiwa.
wewe haumo kamanda.
Hata mimi 2015 nilimpigia Sugu (Ubunge) na Mwangambako (Udiwani) wa CHADEMA ila URAIS niliwaachia Lowasa wenu nikampa Magufuli...yapo maeneo wananchi wanapigia vyama tofauti kura za uraisi, ubunge, na udiwani.
..hii habari ya kusema chadema na act wanawachanganya wananchi ni uzushi tu.
Kanuni ambazo hata wao hawazitii,wanaweweseka wote yaani CCM,NEC&Msajili.Kwani kampeni maana yake nini? Tukizubaa watazuia hata kwa watu binafsi kumpigia debe mgombea.
Muhimu sana kukataa kuchezeshwa ngoma yao. Kila kanuni, taratibu na sheria zao mpya hazina maslahi na mwingine bali wao tu:
Uchaguzi 2020 - Mshindani anapoasisi sheria kwa washindani wengine kufuata
They can't breatheKanuni ambazo hata wao hawazitii,wanaweweseka wote yaani CCM,NEC&Msajili.
Hata mimi 2015 nilimpigia Sugu (Ubunge) na Mwangambako (Udiwani) wa CHADEMA ila URAIS niliwaachia Lowasa wenu nikampa Magufuli.
This year tena chama kimetuletea yule aliyetuletea Lowasa 2015 eti ndo tumpe urais.
Natafakari bado.