Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Si uwaambie ACTNi ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.
Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.
Mimi napendekeza 2025 Chadema imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.
Maendeleo hayana vyama!
Hoyaa unaandika nini wewe? Wahi kalete ule mpunga wetu wa Escrow mliobeba kwenye misandarusi! Unajua tuna njaa tunakumbuka ujambazi wote wa chama cha majambazi.Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate...
Siku hizi nimehamia Aishi Hotel [emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo huwezi kuyaelewa!
Wewe endelea na biashara yako hapo Rau madukani!
Chadema ya sasa hivi ni octopus. Inakwenda kotekote tu bila mwelekeo maalum. Siku zote ni makosa mtu mmoja kukaa na madaraka kwa muda mrefu sana. Mifano ipo mingi sana duniani kuwa absolute power corrupts.
Mgombea wetu ni ndungaiNi ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.
Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.
Mimi napendekeza 2025 Chadema imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.
Maendeleo hayana vyama!
Makamu mwenyekiti wa CCM huyo!Mgombea wetu ni ndungai
Punguza ujinga usio na faida.ni chadema gani hiyo inayoendesha mambo yake kupitia space?.Maana kama huwezi kutofautisha agenda na majukumu ya chama na harakati na hoja za wanachama na wafuasi wa chama unakua huna mamlaka yoyote ya kuishauri chadema.Unapaswa ujielimishe kwanza uelimike.Vinginevyo una nia ovu yakupotosha.Mengine uliyoandika sina haja nayo maana ni upupu mtupu ulioandika.Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.
Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.
Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.
Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].
Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
Mbowe akijitoa tu kwenye Uenyekiti,fasta sana wanapachikwa mamluki. Mi naona aendelee tu hadi kifo. CHADEMA kinawindwa kwa mbinu kemkem.Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.
Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.
Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.
Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].
Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
Ni kweli!Mbowe akijitoa tu kwenye Uenyekiti,fasta sana wanapachikwa mamluki. Mi naona aendelee tu hadi kifo. CHADEMA kinawindwa kwa mbinu kemkem.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist, hii ni habari njema sana!, kumbe wenzetu umeishajua kuwa atafutiwa mashitaka na akihukumiwa then ni kifungo cha miezi 6 tuu, hivyo kuweza kugombea uongozi.Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.
Maendeleo hayana vyama!
1. Mtu huyo huyo kandamizi na mshikilia chama kidikteta anapingwa kwa kila namna mpaka kubambikiziwa kesi ya ugaidi, kisha ccm wanamwogopa!Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.
Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.
Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.
Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].
Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.
Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.
Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.
Maendeleo hayana vyama!
Kwan huyo mwenyekiti wa muda mrefu huwa anajiweka kwenye Madaraka au anapigiwa kura Na wanachama?? tuanzie hapoChadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.