CHADEMA andaeni mapema mgombea wenu wa nafasi ya Rais wa JMT 2025 kwa sababu Tundu Lissu passport yake iliibwa. Msituletee mCCM kama 2015

Ni ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.

Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.

Mimi napendekeza 2025 Chadema imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.

Maendeleo hayana vyama!
Si uwaambie ACT
 
Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate...
Hoyaa unaandika nini wewe? Wahi kalete ule mpunga wetu wa Escrow mliobeba kwenye misandarusi! Unajua tuna njaa tunakumbuka ujambazi wote wa chama cha majambazi.

Usisasahau na ile 10% ya manunuzi ya ndege ambazo hanghigher wenu anasusia! Halafu msisahau zile 1.5Trilion tunazihitaji sana hasa kipindi hiki kigumu!

Tunawaomba sana sana mambo ya kutembeza mabakuli kwa niaba yetu huku mkipiga zile tulizochuma kwa jasho letu muache! Tutaonana wabaya siku si nyingi mjue nyie manyang'au wahead!
 
Vipi kuhusu tume huru ya uchaguzi?
Chadema ya sasa hivi ni octopus. Inakwenda kotekote tu bila mwelekeo maalum. Siku zote ni makosa mtu mmoja kukaa na madaraka kwa muda mrefu sana. Mifano ipo mingi sana duniani kuwa absolute power corrupts.
 
Ni ushauri tu kwa sababu Chadema wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.

Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.

Mimi napendekeza 2025 Chadema imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.

Maendeleo hayana vyama!
Mgombea wetu ni ndungai
 
Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.

Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.

Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.

Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].

Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
Punguza ujinga usio na faida.ni chadema gani hiyo inayoendesha mambo yake kupitia space?.Maana kama huwezi kutofautisha agenda na majukumu ya chama na harakati na hoja za wanachama na wafuasi wa chama unakua huna mamlaka yoyote ya kuishauri chadema.Unapaswa ujielimishe kwanza uelimike.Vinginevyo una nia ovu yakupotosha.Mengine uliyoandika sina haja nayo maana ni upupu mtupu ulioandika.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.

Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.

Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.

Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].

Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
Mbowe akijitoa tu kwenye Uenyekiti,fasta sana wanapachikwa mamluki. Mi naona aendelee tu hadi kifo. CHADEMA kinawindwa kwa mbinu kemkem.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Lissu anahesabika kama mkimbizi wa kisiasa huko belgium...na amewaaminisha wenyeji wake kama Tanzania sio sehem salama tena kwake...sasa 2025 aje kufanya nini? hamuoni contradiction hapo...yaani eti anakuja afrika anakomea kenya, lakn akija 2025 kwenyewe hakuna matishio kwake
 
Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist, hii ni habari njema sana!, kumbe wenzetu umeishajua kuwa atafutiwa mashitaka na akihukumiwa then ni kifungo cha miezi 6 tuu, hivyo kuweza kugombea uongozi.

Kwa msio fahamu, mtu ukikutwa na hatia da kosa la jinai, ukahukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi 6, unapoteza sifa za kugombea uongozi wowote wa kuchaguliwa! .
Ref:
P
 
Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.

Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.

Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.

Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].

Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
1. Mtu huyo huyo kandamizi na mshikilia chama kidikteta anapingwa kwa kila namna mpaka kubambikiziwa kesi ya ugaidi, kisha ccm wanamwogopa!
2. Nini maana ya upinzani wasipopinga? Au unataka kila mtu awe Zito?
3. Raisi atakosolewa kwa kila jambo, Wewe wa praise and worship endelea lakini wanaopinga ni haki yao!
 
Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.

Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria hivyo anzeni kujipanga.

Mimi napendekeza 2025 CHADEMA imsimamishe MWAMBA mwenyewe Freeman Mbowe na mgombea mwenza Salumu Mwalimu anatosha.

Maendeleo hayana vyama!

Wamesha sema hawagombei mpaka tume huru sasa kwanini ni wagumu kuelewa😂😅
 
Mbowe hatoki jela,labda watafute mwingine!! hamjui kusoma nyakati !! labda after............
 
Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.

Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.

Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.

Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].

Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.
Kwan huyo mwenyekiti wa muda mrefu huwa anajiweka kwenye Madaraka au anapigiwa kura Na wanachama?? tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom