Chadema ili ishinde ni lazma wabadr kwanza mindset zao za kipumbavu ndipo mengine yafuate.
Huwez kudai democracy, tume huru ya uchaguzi, katiba mpya, wakat ktk chama chako kuna ukandamizaji na udicteta wa mmtu mmoja kushikiria uenyekiti kwa muda mrefu.
Pia huwez kuwa mlopokaj, mpingaji wa kila jambo, jifunzeni kwa hao mabwana zenu mnaowaita wana demokrasia huko ulaya& Marekani, hutoona wapinzani kama hawa wapumbavu wa huku bongi, wazee wa kupinga pinga kila kitu, kutukana, lugha chafu na upuuzi mwingi.
Huko ktk spaces zao kila siku utawaskia wakilalamikia mambo ambayo hata hayajengi nchi, just imagine siku nzima wanamjadiri rais kwann kapanda ndege kampuninya Emirates? Et kwann asingetumia ndege ya kibongo, wanasahau wao ndyo waliokuwa wakikosoa pia rais kutumia ndege za ndani ktk ziara za nje kuwa ni gharama, na ndio waonwalipinga ununuaji wa ndege[emoji28][emoji28][emoji23].
Sasa kwa siasa za aina hii usitegemee kuna mwananchi mwenye akili timamu ataacha kuichagua ccm inayomuhonga vitenge na kofia za chama, pia kumuahidi ahadi hewa, japo mnasingizia kuibiwa kura, kura haitoibiwa kama wananchi watawaelewa kwa sera zenu nzuri.