CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi wa 2025

Mgewashauri CCM wa ruhusu mchakato wa katiba mpya, tume huru ya Uchaguzi, na wasiruhusu wakurugenzi kusimamia chaguzi.
Hawa CHADEMA mnawaonea sana. Hawana jeshi kama HAMAS hawawezi lolote bila haki kutendeka.
 
Unajidanganya bure, hakutakuwa na ushindani wowote ule wa kisiasa kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025.
CCM kuendelea kubaki Madarakani hawategemei kupigiwa kura na mtu yeyote yule.

Wapinzani nchini Tz wanadhindana na CCM ktk njia isiyokuwa sahihi. Njia muafaka kwa wao ni ku-adopt na kufanya "Siasa za Jino kwa Jino," hapo ndipo wataweza kuishinda CCM.
 
Tatizo la chadema ni kutokuijua nafasi yao na imani ya wananchi kwao,kuna vitu vingi vinanatukwaza sana ila viongozi hawavifanyii kazi.Kwamfano suala la ofisi linatuaibisha sana,ukisema ukweli unaonekana msaliti.Most of the leaders ni wajuaji mno.Niliwahi kuwapa mikakati ktk jimbo moja Manyara,duh πŸ™„ yaliyonikuta ni kebehi na kejeli kutoka kwa aliyekuwa akigombea,uongozi na chawa wao.Hili lipo hata huko juu,"Tujisahihishe",by J.K.Nyerere
 
CC: Tumaini Makene Erythrocyte CHADEMA
 
Mkuu Magufuli 05 ushauri wako kwa ndugu zetu, wa vyama vya mageuzi sasa ni mwaka 2024, uchaguzi wa serikali za mitaa huo,

Na mwakani 2025 uchaguzi mkuu mkuu,

Je wameufanyia kazi ushauri wako hadi sasa? vyama vya upinzani Tanzania tunatamani kusikia sera na hoja zenu kwa ukamilifu, kwenye Taarifa ya habari haitoshi.
Je mna Radio ipi na channel ya Tv ipi hadi sasa kwa wananchi wa mjini na wapiga kura wengi wa vijijini?
Gazeti lenu na Youtube channel zenu haziwezi kuwafikia watanzania wengi, CHADEMA Mdude_Nyagali, Abdul Nondo
 
Siyo rahisi kama unavyofikiri. Umewahi kujiuliza ni kwa nini ni rahisi kwa "Main stream media" kuishambulia CHADEMA kuliko kuandika habari zake za kweli hata bila ya kuisifia??
 
Hivi akina Mnyika, Mbowe, Zitto, Hashim Rungwe, John Cheyo, Shibuda, Hamad Rashid, Pro Lipumba nk nk waliisoma hii????
 
Umeandika vizuri shida ni kumtaja mwendazake
 
.
 
Kweli kabisa,ni wazo ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa katika tasnia y siasa nchini. Kwa Sasa wanayo ofisi nzuri sana inayoendana na sifa ya chama
Nguvu ya kuwekeza kwenye vyombo vya habari ni muhimu sana. Na sio kabisa kujikita kwenye online Tv. Watu wanahitaji Television and Radio broadcasting.
 

Attachments

  • 20240204_210300.jpg
    32.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…