MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kupiga mihayo kumekuwa ujinga toka lini mkuuUjinga wa kiwango Standard Gauge Railway
CCM hii hii inayomeguka vipande vipande. Vipande vya udini, ukabila, ukanda na kadhalika.Lissu ni mtego wa kisiasa ambao umeshashtukiwa tayari.
Hakuna kupeana umaarufu wa bure bure CCM imejikita kwenye sera tu.
Kwa sera gani? Kwa akili gani? Tunataka UHURU HAKI NA MAENDELEOLissu ni mtego wa kisiasa ambao umeshashtukiwa tayari.
Hakuna kupeana umaarufu wa bure bure CCM imejikita kwenye sera tu.
Walidhani TL atakuwa hapati watu kbs mikutanoni na ndicho walitamani ndio sabb kupiga pini media kutangaza habari zake, watawala na vibaraka wao wameaibika sana awamu hii!.Mlipokubali mfumo wa vyama vingi, inaonekana hamkuwa tayari kwa changamoto za vyama vya upinzani.
Mada yako imelenga zaidi kuona wapinzani wakipata kashkash za polisi na mengineyo.
Mmefanya siasa miaka 5 peke yenu vumilieni muda huu ,najua hamuamini kinachoendelea mpaka sasa.
Tegemeeni kuvuna kwa kadri mlivyopanda.
28 oktoba siku rasmi ya Magufuli kuua upinzaniWepesi eeh, ngojea 28 October
Unanikumbusha hadithi ya fisi anayesubiri mkono uanguke mpaka anakufa bila ya lengo kutimia.CCM hii hii inayomeguka vipande vipande. Vipande vya udini, ukabila, ukanda na kadhalika.
Fanya kazi mkuu utapata maendeleo. Uhuru na haki ni vitu ambavyo mpaka tutakufa hatutavipata.Kwa sera gani? Kwa akili gani??tunataka UHURU HAKI NA MAENDELEO
Maana ya chama cha siasa ni kikundi cha watu wenye mawazo yanayofanana, wanaotafuta wanachama wanaoweza kuchaguliwa na wananchi katika maswala ya kuongoza serikali. Ndani ya CCM hamuachiani maji ya kunywa mezani.Unanikumbusha hadithi ya fisi anayesubiri mkono uanguke mpaka anakufa bila ya lengo kutimia.
Yeye kwanza then TL na sisi wengine wote28 oktoba siku rasmi ya Magufuli kuua upinzani
Huko kwa kina Mbowe unapafahamu vizuri?.Maana ya chama cha siasa ni Kiki do cha watu wenye mawazo yanayofanana, wanaotafuta wanachama wanaoweza kuchaguliwa na wananchi katika maswala ya kuongoza serikali. Ndani ya CCM hamuachiani maji ya kunywa mezani.