Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Yeye anasubiri kuapishwa tu ili aanze rasmi kuvunja katiba tenaYeye kwanza then TL na sisi wengine wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anasubiri kuapishwa tu ili aanze rasmi kuvunja katiba tenaYeye kwanza then TL na sisi wengine wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukitaka kupata kichekesho hiki fika LumumbaChadema bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM.
Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973
Kelele za chura tuCCM mmemake headline ya aibu baada ya kuzomewa uko Kagera
Sera ipi?....CCM imejikita kwenye sera tu.
Sky ,Afadhali ya CCM imejitahidi na mengi katika ulani yaje wametimiza. Ukutaka kumpima mtu kwenye majukuma ya umma , kwanza unaangalia anavyoyatekeleza majukumu yake.Chama dola hakina sera, kwa miaka mitano tunapigiwa nyimbo za kumtua mama ndoo, elimu bure bila walimu na vituo vya afya bila wauguzi.
Kazitafute kwenye ilani ya kurasa 303.Sera ipi?
Sky ,Afadhali ya CCM imejitahidi na mengi katika ulani yaje wametimiza. Ukutaka kumpima mtu kwenye majukuma ya umma , kwanza unaangalia anavyoyatekeleza majukumu yake.
Chadema imefeli sana kwenye majukunu yake ya kichama, wataweza majukumu ya kitaifa.
1. Chadema wameshindwa kuweka sawa mahesabu ya chama.
2. Upendeleo wa kindugu, kikanda na kimapenzi.
3. Kuto imaarisha Offisi za chama makao makuu na mikoani.
Hili la mahesabu ya Chadema si Takukuru waliyapitia na hawakuona makosa. Chama mbona kimeenea nchi nzima. Kuimarisha ofisi kutafuata baada ya rasilimali watu kusimama vizuri. Chama ni watu si majengo.Sky ,Afadhali ya CCM imejitahidi na mengi katika ulani yaje wametimiza. Ukutaka kumpima mtu kwenye majukuma ya umma , kwanza unaangalia anavyoyatekeleza majukumu yake.
Chadema imefeli sana kwenye majukunu yake ya kichama, wataweza majukumu ya kitaifa.
1. Chadema wameshindwa kuweka sawa mahesabu ya chama.
2. Upendeleo wa kindugu, kikanda na kimapenzi.
3. Kuto imaarisha Offisi za chama makao makuu na mikoani.
Hiki ndio kipindi cha kufanya shughuli za siasa. Usi laumu vyombo vya usalama kwa ku kuwekea vizuizi unapo taka kufanya haya kwenye muda ambao sio....Chadema bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM.
Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973
Mawazo mufilisiFanya kazi mkuu utapata maendeleo. Uhuru na haki ni vitu ambavyo mpaka tutakufa hatutavipata.
Havikupatikana tangu enzi za Yesu na Mohamed sisi ndio tuje kuvipata!!.
Mihayo =jina la kwetuKupiga mihayo kumekuwa ujinga toka lini mkuu