Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Naunga mkono hoja 100%....
JPM amalize awamu yake ya ujenzi wa infrastructures.... kisha uwepo utawala wa pamoja.
JPM amalize awamu yake ya ujenzi wa infrastructures.... kisha uwepo utawala wa pamoja.
Nashauri ikifika 2025, CCM na CHADEMA waungane. Hatuna haja ya kuwa tunaendelea kulumbana hata kama Serikali iliyoko madarakani inafanya mambo ya maana ya kuwasaidia wananchi. Vinginevyo kuna siku Mungu ataachia kidogo halafu nchi itauzwa. Bora uishi ukiwa unatawaliwa na mkoloni, kuliko kuishi kwenye nchi iliyouzwa. Situation iliyoko Libya sasa hivi inasikitisha sana, watu wanaishi masiha utafikiri wamekufa, ni mizoga. Solution ni kuviunganisha hivi vyama, kama tunataka kuendelea kuwa salama.