Uchaguzi 2020 CHADEMA bila polisi ni wepesi kama pamba, Lissu anaomba hata leo akamatwe lakini wapi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukitaka kupata kichekesho hiki fika Lumumba
 
Chama dola hakina sera, kwa miaka mitano tunapigiwa nyimbo za kumtua mama ndoo, elimu bure bila walimu na vituo vya afya bila wauguzi.
Sky ,Afadhali ya CCM imejitahidi na mengi katika ulani yaje wametimiza. Ukutaka kumpima mtu kwenye majukuma ya umma , kwanza unaangalia anavyoyatekeleza majukumu yake.

Chadema imefeli sana kwenye majukunu yake ya kichama, wataweza majukumu ya kitaifa.

1. Chadema wameshindwa kuweka sawa mahesabu ya chama.
2. Upendeleo wa kindugu, kikanda na kimapenzi.
3. Kuto imaarisha Offisi za chama makao makuu na mikoani.
 

Wapo ufipa pale mpaka leo licha ya kupewa mamilioni ya pesa za ruzuku.
 
Hili la mahesabu ya Chadema si Takukuru waliyapitia na hawakuona makosa. Chama mbona kimeenea nchi nzima. Kuimarisha ofisi kutafuata baada ya rasilimali watu kusimama vizuri. Chama ni watu si majengo.
 
Hebu tupe mwenendo wa huko chadema kama unawajua vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani chadema wanatumia nguvu nyingi kuichafua Ccm badala ya kurekebisha ya kwao
Sasa hivi hadi wanachama wao wamewachoka kwa story zao zile zile za kuonewa ,
badala ya kuonyesha yale waliofanya kwenye maeneo waliyokuwa wamepewa dhamana
 
Hiki ndio kipindi cha kufanya shughuli za siasa. Usi laumu vyombo vya usalama kwa ku kuwekea vizuizi unapo taka kufanya haya kwenye muda ambao sio....
 
Wazee wa krokwini iliyopakwa sukari, bila kuzinguliwa na polisi hamna anaehitaji kuwajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…