Uchaguzi 2020 CHADEMA bila polisi ni wepesi kama pamba, Lissu anaomba hata leo akamatwe lakini wapi

Mpikie mumeo chai .Mambo ya wanaume hayakuhusu
 
Chama dola hakina sera, kwa miaka mitano tunapigiwa nyimbo za kumtua mama ndoo, elimu bure bila walimu na vituo vya afya bila wauguzi.
Chama cha upinzani pamoja na ruzuku kedekede hata kujenga ofisi tu wameshindwa, nchi wataiweza? 🤣
 

Basi itakuwa mahakama nao weiga busara ya polisi.

Unaonaje muwashauri NEC na ZEC kuhusu ugunduzi wenu huu?

Bila shaka mtakuwa sasa zile risasi mnajilaumu mno.
 
Fanya kazi mkuu utapata maendeleo. Uhuru na haki ni vitu ambavyo mpaka tutakufa hatutavipata.

Havikupatikana tangu enzi za Yesu na Mohamed sisi ndio tuje kuvipata!!.
Acha mawazo mgando.ndo Mana mlimpiga risasi 16 ili tusipate ivyo.Musa alivyowakomboa Wana wa Israel je sio Enzi za yesu??au Enzi za zuchu na fid q???
 
Kiki hakuna...

Viva Magu 2020 to 2030.

Yan nyie ambao mlifanya kampeni miaka mitano Peke yenu

Kwa haya yanayotokea ilitakiwa mfukuzwe kazi kabisa

Hamna la kujitetea kabisa, ilitakiwa mkutano wa Lisu uwe kama wa mzee rungwe
 
We ata 2000/=hupewi lumumba.pumba tupu
 
hata Marekani Mbunge wa Texas hawezi kwenda kuhutubia siasa jimbo la Chicago...

Siasa ziliruhusiwa kila mtu jimboni kwake.

Viva Magu 2020 to 2030

Yan nyie ambao mlifanya kampeni miaka mitano Peke yenu

Kwa haya yanayotokea ilitakiwa mfukuzwe kazi kabisa

Hamna la kujitetea kabisa, ilitakiwa mkutano wa Lisu uwe kama wa mzee rungwe
 

Umeandika upuuzi mtupu
 
Godbless Lema hadi alilalamika kwa kitendo chav polisi kutokamata mtu yeyote Siku ya mapokezi ya Lisu

Aliongea hadi akitamani kulia kuonyesha kuumia sana
 
Mleta mada nahisi una utapiamlo mkali wa akili!
Au unavuta sana mibange kiasi kwamba imekuharibu akili!
Kweli hakuna ugonjwa mbaya kama kukossa akili.
 
Acha mawazo mgando.ndo Mana mlimpiga risasi 16 ili tusipate ivyo.Musa alivyowakomboa Wana wa Israel je sio Enzi za yesu??au Enzi za zuchu na fid q???
Kama unaamini Lissu ni mkombozi wako basi fanya hima ukaombewe mapema sana kabla haujaharibikiwa zaidi.
 
[emoji3][emoji3]its a joke mkubwa
Nashauri ikifika 2025, CCM na CHADEMA waungane. Hatuna haja ya kuwa tunaendelea kulumbana hata kama Serikali iliyoko madarakani inafanya mambo ya maana ya kuwasaidia wananchi. Vinginevyo kuna siku Mungu ataachia kidogo halafu nchi itauzwa. Bora uishi ukiwa unatawaliwa na mkoloni, kuliko kuishi kwenye nchi iliyouzwa. Situation iliyoko Libya sasa hivi inasikitisha sana, watu wanaishi masiha utafikiri wamekufa, ni mizoga. Solution ni kuviunganisha hivi vyama, kama tunataka kuendelea kuwa salama.
 
hata Marekani Mbunge wa Texas hawezi kwenda kuhutubia siasa jimbo la Chicago...

Siasa ziliruhusiwa kila mtu jimboni kwake.

Viva Magu 2020 to 2030

Tanzania ni states?
Huko Marekani kila jimbo unapata kila kitu huko huko

Hapa kitambulisho cha nida tu Mpaka wote tujae dar es salaam

And pia, mbona pole pole alikuwa anazunguka majimboni yy ni mbunge wa jimbo gani? *
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…