Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Nashauri ikifika 2025, CCM na CHADEMA waungane. Hatuna haja ya kuwa tunaendelea kulumbana hata kama Serikali iliyoko madarakani inafanya mambo ya maana ya kuwasaidia wananchi. Vinginevyo kuna siku Mungu ataachia kidogo halafu nchi itauzwa. Bora uishi ukiwa unatawaliwa na mkoloni, kuliko kuishi kwenye nchi iliyouzwa. Situation iliyoko Libya sasa hivi inasikitisha sana, watu wanaishi masiha utafikiri wamekufa, ni mizoga. Solution ni kuviunganisha hivi vyama, kama tunataka kuendelea kuwa salama.
Tanzania ni states?
Huko Marekani kila jimbo unapata kila kitu huko huko
Hapa kitambulisho cha nida tu Mpaka wote tujae dar es salaam
And pia, mbona pole pole alikuwa anazunguka majimboni yy ni mbunge wa jimbo gani? *
Green cards zinatolewa kila jimbo mkuu?
Passport zinatolewa kila jimbo?
sina uhakika kama Polepole alikuwa anafanya siasa majukwaani kila jimbo
Huo ndio ifumbuzi wa waty wenye hekima!Naunga mkono hoja 100%....
JPM amalize awamu yake ya ujenzi wa infrastructures.... kisha uwepo utawala wa pamoja.
Huo ndio ifumbuzi wa waty wenye hekima!
utapeleka wauguzi bila vitua miundombinu kwanza then vitendea kazi........ Tafakali kwanza hiliChama dola hakina sera, kwa miaka mitano tunapigiwa nyimbo za kumtua mama ndoo, elimu bure bila walimu na vituo vya afya bila wauguzi.
CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973
Watu kuchanganyikiwa kwa mtiti wa huyu jamaa sii headline.CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973
Umeandika kinyonge sana pole sana mkuu.CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973
Mkuu akili umeziacha wapiCHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973
Cha ajabu hapa ni kipi? Mbona Kupiga mihayo ni jambo la kawaida tu?CHADEMA bila polisi hamna kitu kabisa zaidi ya mwezi sasa wanaoperate freely hawamake headlines tena, kila gazeti ni mafuriko ya JPM. Zuchu ana jina kubwa mikoani kuliko Lissu.
Wanataka hata Leo wakamatwe na polisi ili waandishi wapate cha kuandika lakini wapi. Mdee hapumui huko alipo Gwajima kamshika pabaya, Sugu kapewa ya mbao na mama la mama.
View attachment 1579973