Hakuna usaliti, acheni kua wazandiki.Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama
Unawezaje Fananisha Matendo ya Yericko afanyayo ,na Msigwa???.Kwa nini mnamkataa yericko?
Gentleman,Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama
Sina mda na watu Kama nyieGentleman,
kwahiyo kumbe kuna usaliti bora na usio bora, right?
chuki binafsi ni kitu mbaya gentleman.
Yaani unachukia na kua na mihemko nonsense kama hiyo, kwasababu tu mTanzania fulani ameamua kwa hiyari yake mwenyewe kutumia haki na uhuru wake wa kikatiba kuamua kujiiunga au kujiondoa kwenye chama cha siasa kadiri atakavyo, wew umekaa mahali na uhuru wako unakasirikia uhuru wa mwingine?
hiyo ni nonsense ya kimaskini sana gentleman, acha chuki binafsi useless kama hizo plz 🐒
chuki ni umaskini wa kindezi sana gentleman ukiuendekeza dhidi ya wanaotumia uhuru na haki zao za kikatiba kufanya siasa wapendavyo 🐒Sina mda na watu Kama nyie
Yeriko ni ***** hivyo hatupokei machoko na uchoko wake tumeugundua baada ya kwenda chaumma laiti tungemgundua mapema tungemgukuza kabla hata ya kuhama.Kwa nini mnamkataa yericko?
Waweza kua Sahihi, ila jambo Moja la uhakika, Msigwa ni hazina Kubwa sana kwa CHADEMA.Wote ni wale wale bora ungesema hata Mdee
Kwa hiyo Msigwa alimkimbia Mbowe?..wanasiasa wa nchi hii wasaniiWaweza kua Sahihi, ila jambo Moja la uhakika, Msigwa ni hazina Kubwa sana kwa CHADEMA.
Na Yericko Nyerere kamkimbia Lissu ?...Kwa nini mnamkataa yericko?
Sasa mbona na nyie kila ambaye yupo ccm mnamuona mbaya hata kama hajashiriki chchtHakuna usaliti, acheni kua wazandiki.
Ukiachilia mbali kuhama kwa Msigwa, akiwa CCM amewah kufanya nn kibaya dhidi ya Watanzanía au Wanachadema??.
Kwa hio watu wasiondoke kwenye lichama lenu la wauwaji na watekaji.Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama
Si kweli, na hata akirudi ataishia kuwa mwanachama wa kawaida. Vyeo kwa hao madouble agent hapana.Waweza kua Sahihi, ila jambo Moja la uhakika, Msigwa ni hazina Kubwa sana kwa CHADEMA.
SwadaktaSi kweli, na hata akirudi ataishia kuwa mwanachama wa kawaida. Vyeo kwa hao madouble agent hapana.
Tusiwe wahafidhina !!!Si kweli, na hata akirudi ataishia kuwa mwanachama wa kawaida. Vyeo kwa hao madouble agent hapana.
Ndio mkuu alivuliwa uenyekiti wa kanda so hakua na future tena chadema ikambidi tu ahame chama ila kama wasingemfanyia figisu angeendelea kuwa chadema.Kwa hiyo Msigwa alimkimbia Mbowe?..wanasiasa wa nchi hii wasanii
Tindo
Na Yericko Nyerere kamkimbia Lissu ?...
zitto junior