Mdee hana kosa. Na uzuri amechagua kukaa kimya,akijua mchato mzima ilivyokuwa kupitia Mbowe ambaye alikuwa boss wake. Asingeweza kwenda kinyume na kiongozi wake tena kukiwa na mkono mkubwa wa serikali. Alimsitiri Mbowe kwa style hiyo lakini mwisho wa yote nyeti za kuku zilikuja kuonekana wazi mchana kweupe,baada ya deal za Mbowe kubainika wazi.