CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

Aisee
Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.

Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama kwasababu katiba ya JMT inatamka wazi makosa yanayomfanya mtu akose sifa A kuwa kiongozi.

Unless otherwise ndo anamiliki account ya kupokelea Hela kutoka kwa mabeberu.
Aisee kama hii Akili ya mtu au msukule!Uhai upi mkuu?
 
Wewe umetoa wapi hiyo hukumu wakati bado kesii inaendelea?.
 
Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.

Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama kwasababu katiba ya JMT inatamka wazi makosa yanayomfanya mtu akose sifa A kuwa kiongozi.

Unless otherwise ndo anamiliki account ya kupokelea Hela kutoka kwa mabeberu.
Kwa hiyo wewe ndo mahakama
 
Lini makama imemkuta na hatia?
 
TUnajua kilaza wa zenj anamhara sana Lissu hana hoja za kumshinda majukwaani ndio maana akaamuru apewe kesi ya uhaini!
 
Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.

Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama kwasababu katiba ya JMT inatamka wazi makosa yanayomfanya mtu akose sifa A kuwa kiongozi.

Unless otherwise ndo anamiliki account ya kupokelea Hela kutoka kwa mabeberu.
Pumbavu
 
Back
Top Bottom