CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

CHADEMA chagueni mwenyekiti mwingine, Makosa ya uhaini yamemkosesha Lissu sifa ya kuwa kiongozi

Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.

Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama kwasababu katiba ya JMT inatamka wazi makosa yanayomfanya mtu akose sifa A kuwa kiongozi.

Unless otherwise ndo anamiliki account ya kupokelea Hela kutoka kwa mabeberu.
 

Attachments

  • 675c679920d4d64c27f242780da68a29.webp
    675c679920d4d64c27f242780da68a29.webp
    261.3 KB · Views: 6
Jenga hoja
Unajengaje hoja kwa hoja ya kipumbavu , maccm yanabambikia watu kesi za uhain then unataka tujenge hoja kwenye upumbavu wa namna hii, hivi walioua Watanganyika 29 Oct na alie kua anataka maboresho katika mifumo ya nchi ikiwemo mambo ya uchaguzi ili kuepusha maafa ,nani kafanya uhaini?.

Pumbavu kabisa,
Nikizungumza 29 Oct inanigusa in deep ,nilipoteza vijana wangu 2 , na hawakua kwenye maandamano .

Je lissu wakati mauaji yanafanyika si alikua mahabusu .achen leta dram za kipumbavu kama alieagiza watz kuuliwa kama kuku awe huru na alie kua anatetea ili ualibifu usitokee yupi anatakiwa kuwa jela.
 
Ibara ya 132(5)(c) inasema misingi ya maadili ya viongozi wa umma/chama/kikundi/taasisi inapiga marufuku mienendo au tabia inayomfanya kiongozi aonekane hana uaminifu, anapendelea, si muadilifu, mhaini au anahusika na kuchochea rushwa au vurugu.

Kwa maana hiyo Tundulisu hafai kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chama kwasababu katiba ya JMT inatamka wazi makosa yanayomfanya mtu akose sifa A kuwa kiongozi.

Unless otherwise ndo anamiliki account ya kupokelea Hela kutoka kwa mabeberu.
Huu ni uzi wako wa 38 kuhusu Tundu Lissu.
Hakika Lissu anakunyima usingizi au uzi wa Lissu una malipo mazuri zaidi ya 7000 tsh ya kawaida.

Get a life pal, Lissu is here to stay,for a special purpose.
 
Akipanda juu Heche, mtamtafutia kesi za mchongo pia?
 
Back
Top Bottom