Mkuu Gabeji, maua 👉💐💐💐💐💐💐💐🌻🌻🌻🌻🌻💐💐🌻💐🌻🌻🌻🌻🌻💐🌻💐🌻🌻💐🌻🌸🪷🏵Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania. Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Lipumba aliwekewa pesa yaJamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania. Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Lipumba aliwrkewa bl 1. 5 kuiua UF Kwenye Account yake ya bongo baadaewakaja wakazikomba zote wakabakiza ml 100 tu.Jamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania. Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Garbage tupuJamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania. Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kabisa mkuu, sasa yameanza kuwa peupeLipumba aliwekewa pesa ya
Lipumba aliwrkewa bl 1. 5 kuiua UF Kwenye Account yake ya bongo baadaewakaja wakazikomba zote wakabakiza ml 100 tu.
Mbowe aliomba awekewe mzigo kabla ya uchaguzi kwenye ACCOUNT yake yaCHINA.
huu mzigo ndo unafanya haya yote
Lipumba aliwekewa pesa ya aliwekewa mpunga kwenye acc. Ya bongo TISS wakachukua na kumuachia 100 tuJamani matumain ya second freedom sasa yana anza kuonekana, leo ndio imethibitika kuwa watanzania tulikuwa tunachezewa mchezo na kakikundi kadogo sana ka watu, Hao G55 baada kutangaza kuondoka chadema.
Nimepitia mitandao mbalimbali ya kijamiii, kuangalia coments za watu. G 55 Wamepata aibu sana, kila mtu anawaita wasaliti, nk wananchi wamefurahi sana kuondoka kwao, na wanasema BAdo baba yao kuondoka!( Mbowe)
KWA mara ya kwanza chadema kimetoka chini ya mikono ya wafanya biashara, hasa huyu" Mbowe" amekitumia chama kujinufaisha yeye na sio watanzania. Miaka zaidi ya 20 anafanya biashara na Ccm Mungu ameendelea kujibu maombi ya watanzania kwa kutuletea Tundu Lisu kuwa mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Maji na mafuta yameanza kuonekana taratibu, Mungu mpe maisha marefu Tundu Lisu atimize kusudi lako kwa nchi yetu Tanzania .
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kina bon yai sasa wanajenga majumba kwa pesa ya mgao. Hawa kina kigaila wote wamekula mgao ili waiue chademaKabisa mkuu, sasa yameanza kuwa peupe