CHADEMA chini ya Tundu Lissu kimekuwa chama cha Wananchi wote!

Upinzani ndio utaleta balance ya kisiasa nchini.

Bila competition ni ngumu kupata ubora na ufanisi japo wengi tunapendaga kuwa kwenye comfort zone ambapo ndio kichaka kikuu cha uzembe.

Hicho ndio kitu mbogamboga wanakipinga na kupambana na CHADEMA kwa kisingizio cha uvunjifu wa amani ili tu waendelee na mambo yao ya uzembe na ufisadi bila vikwazo. This has to come to an end with proper reforms and constitutional amendments.
 
Hahahah amani inaendana na uhuru wa kujieleza bila kutekwa na kuuliwa. Jaribu kuongelea negatively kuhusu raisi Samia Suluhu Hassan uone kama utamaliza masaa 48 ukiwa uraiani.

Just publish it with your real identity kwenye social medias zote iende viral halafu utakuja na majibu kwamba uko huru kwa kiasi gani.
 
Kabisa mkuu, chama kipo tayali kwa ukombozi
 
Kabisa mkuu
 
Kaka hii ni agenda ya Taifa, kama mtu una akili timamu huwezi kushiriki uchaguzi ambao mshindi anajulikana kabla hata ya uchaguzi wenyewe - huo utakuwa 100% uzezeta.

No Reform watu washabamba vilivyo, ni kauli ya watanzania kwa muda mrefu sana wesubiri hii kitu.

Sasa wacha tuwasubiri hao WAHUNI wa Chauma waje .na boss wao mpya ambaye bado yupo mafichoni - hajajitokeza hadharani anapima upepo aka kina cha maji.

Lissu ni habari nyingime Chief - utaumbuka zaidi ya hapo.
 
Lisu ni mpango wa Mungu kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa ccm
 
We unafikiri Rais kama mshikaji wako wako Rais ni taasisi
 
ACHENI UJINGA INAMAANA MIMI SIYO MWANANCHI? MIMI SIYO CHADEMA SIWEZI KUWA KATIKA CHAMA KINACHOENDEKEZA USHOGA SIWEZI KAOANENI WENYEWE HUKO NA MKOME KUJUMLISHA KUWA WOTE TUMEKUBALI CHADEMA WENGINE TUNAJITAMBUA
 
We unafikiri Rais kama mshikaji wako wako Rais ni taasisi
Trump ambaye anapigwa mpaka Parody lini ulisikia kamuua mtu au wale wanaomtukana mitandaoni "Fuuck Trump" nani ushamsikia katupwa kwenye vichaka vya marekani?

Raisi ni binadamu kama wewe tu mbele ya sheria na hana mamlaka ya kuua watu wanaompinga.
 
Ushasema Trump mbona rahisi kulielewa hilo katiba yao na huku ni tofauti au hukuona ile video snop anavuta bangi karibu na white house nenda ww kavute pale magogoni
 
Ushasema Trump mbona rahisi kulielewa hilo katiba yao na huku ni tofauti au hukuona ile video snop anavuta bangi karibu na white house nenda ww kavute pale magogoni
Ndio katiba yenu ya kipuuzi ilioitwa "Kijitabu" inatakiwa ifanyiwe amendments ili kuondosha sifa za Kimungu kwa mwenyekiti wa Chama.
 
ACHENI UJINGA INAMAANA MIMI SIYO MWANANCHI? MIMI SIYO CHADEMA SIWEZI KUWA KATIKA CHAMA KINACHOENDEKEZA USHOGA SIWEZI KAOANENI WENYEWE HUKO NA MKOME KUJUMLISHA KUWA WOTE TUMEKUBALI CHADEMA WENGINE TUNAJITAMBUA
Serikali Yako ndio imetuhusu ushoga, misaaada yote wanapokea inatokana mashaliti ya ushoka
 
You are right kuwa upinzani ndiyo utaleta maendeleo hapa nchini ila sikubaliani nawe kama Watanzania wako kwenye 'comfort zone,' ni vile tu CCM hawataki kubadilika kwa sababu wanajijuwa ni wezi na wananchi wamewachoka.
 
Usiwe mfupi wa fikra, kama unaona hicha chama ni kikubwa jua Mbowe pia ana nguvu zake hapo, mbona chauma, tlp na vingine havina watu, jifunzeni kuenzi vya kwenu.
 
Nimeizungumzia hio comfort zone sarcastically. Wapenda mabadiliko wapo ila wengi hawataki kulipa price ya kuleta mageuzi.

It includes the rulling party politicians.
You are right kuwa upinzani ndiyo utaleta maendeleo hapa nchini ila sikubaliani nawe kama Watanzania wako kwenye 'comfort zone,' ni vile tu CCM hawataki kubadilika kwa sababu wanajijuwa ni wezi na wananchi wamewachoka.
 
Exactly LISSU NI KIONGOZI HALISI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…