Tetesi: CHADEMA chini ya Uongozi wa Lissu washindwa kuchangisha 180 million kwaajili ya uzinduzi wa mikutano nchi nzima

Huo ni wajibu wa serikali nawajibu wa wananchi ni kulipa kodi , ni sawa na uahidi kumpelekea mtoto shule wakati ni jukumu la mzazi na la mtoto ni kusoma , nyie wabunge wanamna hiyo mlipaswa muwe sero asee, hiyo ni rushwa kama rushwa zingine tu.
kwani kazi na wajibu wa mbunge ni nini gentleman kama sio kutunga sheria, kuisimamia serikali, kujadili bajeti miswada mbalimbali, na kushauri serikali?

serikali itajuaje kama kalenga wanahitaji maji safi, barabara za lami na hospitali bila kua na muwakilishi wa kuwasemea bungeni?

gentleman,
nchi hii ni kubwa mno kuliko unavyofikiri, ati kwamba serikali kuu pekee inaweza kufahamu wapi panahitajika nini bila kua na muwakilishi kwenye mihimili ya maamuzi 🐒
 
Hizo sio aahadi za kuwapa wananchi ili upewe ubunge huo ni wajibu wa serikali , serikali inatakiwa wananchi wake wapate vyote hivyo ,sio kwa kuombwa huo ni wajibu wake.

Note: serikali kuwaletea wananchi miundo mbinu sio ombi ni wajibu wake , miaka 60 sasa aahadi ni zile zile kila uchaguzi , mnapaswa kujitathimini🤔
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Kuna fedha za ruzuku Milioni 107 kila mwezi, ambazo zipo kwa kazi za Chama usilete mambo ya ushambengena mbele za watu wazima, kama unaombea CDM ife utasubiri sana.
 
Huyo kapuku bado hajaamini kuwa mchepuko wake umelambishwa sakafu kudadadadeq
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Hiyo mbona trella mwanawane!
 
Hizo sio aahadi za kuwapa wananchi ili upewe ubunge huo ni wajibu wa serikali , serikali inatakiwa wananchi wake wapate vyote hivyo ,sio kwa kuombwa huo ni wajibu wake.

Note: serikali kuwaletea wananchi miundo mbinu sio ombi ni wajibu wake , miaka 60 sasa aahadi ni zile zile kila uchaguzi , mnapaswa kujitathimini🤔
gentleman,
kuna mambo huenda huyafahamu vyema, na sina hakika kama unaelewa wajibu wa serikali kupitia watendaji wa vijiji na kata nchi mzima,

sifahamu kama unafahamu wajibu wa serikali kupitia maafisa ogani katika vijiji na kata zote nchini,

sina hakika kama unajua jukumu la serikali kupitia maafisa ustawi wa jamii, maafisa wa polisi jamii, waratibu elimu, walimu, madaktari na manesi katika vijiji na kata zote nchini,

ni muhimu zaidi,
kufahamu wajibu, mamlaka na majukumu ya wateule wa Rais hususan mkuu wa wilaya na mkurugenze katika eneo husika, ndipo kiundani zaidi unaweza kuelewa wajibu wa serikali na nafasi ya mbunge katika kuiwajibisha serikali kwa mujibu wa katiba 🐒
 
Kutoa ahadi eti nipe kura nitajenga barabara hiyo ipo Africa tu , wananchi wanalipa kodi ni wajibu wa serikali ni kushughulikia miundo mbinu kwa ufanisi mkubwa, ikishindikana wananchi wanayo haki ya kuwajibisha serikali.
 
Sio ajabu kukwama kwa Lissu kupata pesa. Mbowe alifanya chama mali yake na alipewa ufadhili wa moja kwa moja kutoka serikalini ili kuigiza upinzani.

Kutoka kwa Mbowe chamani kunamaanisha kuondoka kwa support ya serikali kifedha CHADEMA.
Pesa za wapinzani either serekalini kupitia ruzuku, mfukoni kama alivyofanya mbowe au za wazungu kama anavyozitaka Lissu
 
Heshima wanajamvi.

Baada Lissu kuchaguliwa Mwenyekiti Taifa na kuunda kamati kuu yake,waliweka maazimio ya kuchangisha 180,000,000 kwaajili ya kufanya mikutano Mikoa yote ya Tanganyika.

Taarifa za uhakika mpaka leo wamekusanya kiasi cha Tshs. 1,920,000 ambazo zitaweza kufanya mkutano wa Buguruni pekee yake.

Ni wazi Lissu na team yake wameanza vibaya hawajui nini cha kufanya na kibaya zaidi bila upatanisho wa uhakika Lissu kufikia mwezi July atakuwa kachoka vibaya.

Kikao cha Kamati Wajumbe walijikuta wanakula mandazi huku wakitakiwa kujilipia.

Ngongo kwasasa Ababati.
Teh Teh Teh nasikia familia ya Mbowe haitaki kabisa kuwasikia watu wa CDM!! Lissu aliitaka hiyo nafasi kwa pupa sana bila kujiandaa…. Kuitwa baba ni kazi rahisi sana lakini kuishi maisha ya u baba ni kazi Ngumu mno!!

Lissu aligoma kuchangia mil 30 alijibu hana tena kwa jeuri sana Leo watu wanamtazama tu waone yeye atakua na muujiza gani!!

Tulionya humu zile hulka Za kitoto very soon zitazimika!!
 
Kutoa ahadi eti nipe kura nitajenga barabara hiyo ipo Africa tu , wananchi wanalipa kodi ni wajibu wa serikali ni kushughulikia miundo mbinu kwa ufanisi mkubwa, ikishindikana wananchi wanayo haki ya kuwajibisha serikali.
ndiyo maana nasema ipo changamoto ya ufahamu juu ya mambo hayo gentleman,

serikali haiombi kura ,
na wenye wajibu wa mwanzo kabisa wa kuiwajibisha serikali ni wabunge, wananchi wanasehemu ndogo mno kufanya hivyo gentleman 🐒
 
Wewe ndio unachangamoto ya kunielewa, na hauniwezi kunielewa , bora tuishie hapa kwa heri na kazi njema.
 
kama chadema ikikosa jimbo hata moja 2025
manake wawotopata ruzuku hapa ndipo mwanzo wa kifo cha chadema
Sina uhakika kama una ufahamu wa ulichoandika, vinginevyo uwe umeandika kwa kutumia hisia. Vingine kama siyo saizi yako pata muda wa kujifunza.
 
kama chadema ikikosa jimbo hata moja 2025
manake wawotopata ruzuku hapa ndipo mwanzo wa kifo cha chadema
hujui kitu ww..ruzuku inatokana na wingi wa kura za urais na vilevile hizo kura za urais pia zitawapa idadi maalum kwa chama kuteua wabunge wa viti maalum
 
Back
Top Bottom