Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwani kazi na wajibu wa mbunge ni nini gentleman kama sio kutunga sheria, kuisimamia serikali, kujadili bajeti miswada mbalimbali, na kushauri serikali?Huo ni wajibu wa serikali nawajibu wa wananchi ni kulipa kodi , ni sawa na uahidi kumpelekea mtoto shule wakati ni jukumu la mzazi na la mtoto ni kusoma , nyie wabunge wanamna hiyo mlipaswa muwe sero asee, hiyo ni rushwa kama rushwa zingine tu.
serikali itajuaje kama kalenga wanahitaji maji safi, barabara za lami na hospitali bila kua na muwakilishi wa kuwasemea bungeni?
gentleman,
nchi hii ni kubwa mno kuliko unavyofikiri, ati kwamba serikali kuu pekee inaweza kufahamu wapi panahitajika nini bila kua na muwakilishi kwenye mihimili ya maamuzi 🐒