CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Rais kambeleleza sana Mbowe anataka anasema ndiyo lifuatwe sasa hivi atajua Amiri Jeshi ni nani ni msimu sasa makamanda kulia lia.
 
Rais, Samia kawadekeza sana Chadema sasa hivi watatia akili.
 
Katiba haikweoeki ila mama buana anaupiga mwingi sana
 
Sio lazima uandike,huo ni uoga na undezi,kama kweli unakucha zilizotimia,pumbu mbili unazo na miguu na mikono unayo basi nenda pale Azikiwe street kademke na vijana wa Murilo.
 
Kama watu walishindwa kuandamana kipindi kile cha uchaguzi sidhani Kama kutakuwa na maandamano yoyote, ngoja tuone
 
Wadanganyika Nyerere aliwapa utulivu wala usiwaze kuandamana au kufanya vurugu hapa siyo Kenya ndugu kula ugali ulale tetea familia yako na wewe mwenyewe wadanganyika achana nao
 
Acha mikwara mbuzi wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…