CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

Waaanze Wao na familia zao aanze mtoto wa Mbowe
Dudley Mbowe yeye anatwit tu kama wa watoto wa zuma..kina mwaipaya na hilda ndo watakula kichapo wakipeleka pua zao mbele..uzuri hawatathubutu kuandamana
 
kwani muda bado mbona kimya?
 

Likifika mahakamani haitawezekana tena,

Polisi watasema suala liko mahakamani halihitaji mjadala.

This time namuona Mbowe atasota sana Mahabusu. Mlolongo wa kesi za ugaidi sote tunaujua.
Kwa kuwa ni mwanasiasa mkubwa labda kuna favour zitampitia kuepusha jumuiya za kimataifa kutusemasema.
Tuone yajayo!
 
Msiseme, tendeni, plaster, yuso, iodine, bandage juu yangu..
 
Hayo maneno yenu tumeyazoea sana kenge nyie.
 
Hahahaa utamuitisha nani sasa ambae ataacha kazi zake akaandamane kwa ajili ya mbowe ambae watoto wake hawajui hata kama duniani kuna watu wanalalaga njaa maana mahela ya ruzuku yanafanya kazi hahaa
 
Ili yawe na baraka anzieni Moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…