Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu.
Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za debate Ilboru. Debate yake kubwa ilikuwa mwaka 1986 na topic ya kuhusu Regan kupiga bomu nyumba ya ghadafi oppose wake alikuwa Joseph Mpuya ambaye naye kwa sasa ni wakili. Lissu alishinda na ndiyo model ya debate pale Ilboru mpaka Leo. Huu utamaduni umesaidia sana Ilboru kutoa mawakili waziri sana.
Waziri wetu wa sheria bahati mbaya ni wale wa kurudia sana akaingia form 1 akiwa na miaka 19!! njemba sana kiasi kwamba wenye umri wake tulikuwa form 5 mwaka 1994