Uchaguzi 2020 CHADEMA: Fanyeni mdahalo kwenye Urais

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Fanyeni mdahalo kwenye Urais

Sasa Rais wa Jamhuri Ya Muungano aache shughuli zake zote aje kusimama na kupoteza muda na hao wapiga ramli?

Kuna levels ukifika huna haja ya kujibizana na vijizabinazabina kina lisu , msigwa , nyalandu...they are not his type.

Yaani Head of State
Amiri Jeshi Mkuu
Head of the Government
Chairman of Chama cha Mapinduzi chenye mtaji wa wanachama zaidi ya million 8 na Mwenyekiti mstaafu wa SADC na vyeo vingine kibao...

Kweli aje kufanya mdahalo na msigwa?lissu?nyalandu??

Mtoa mada hauko serious.
Marekani ambapo wametupita kwa kila kitu wanafanya midahalo, sembuse nyinyi ambao hadi leo mnahamasishana kujenga vyoo ndio mjikute mna mambo mengi ya kufanya..

Shenzy type
 
Marekani ambapo wametupita kwa kila kitu wanafanya midahalo, sembuse nyinyi ambao hadi leo mnahamasishana kujenga vyoo ndio mjikute mna mambo mengi ya kufanya..

Shenzy type
Achana na mambo ya jirani sijui kenya wanafanya hivi, sijui Marekani .

Katiba inasema Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

Tuko Sovereignity, hatuhitaji kujua Marekan anafanyeje..

Nina hofu na wewe kama ni baba wa familia basi una-copy paste mambo ya familia nyingine unaleta kwako.

Badilika.
 
Kwahiyo midahalo haifai?
 
Jambo gani jipya ambalo unadhani linafanyika nchi mwako lakini halijawahi kufanywa nchi nyingine ?

Kama una akili timamu sio zile za MATAGA, utakubali kwamba hakuna jipya, mengi tunaiga tena tunaiga sana tu.

Nachoweza kukwambia ni kwamba nchi yako imechagua kuiga mambo ya kipumbavu kuliko mambo yenye tija kwa taifa.
 
Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu.

Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za debate Ilboru. Debate yake kubwa ilikuwa mwaka 1986 na topic ya kuhusu Regan kupiga bomu nyumba ya ghadafi oppose wake alikuwa Joseph Mpuya ambaye naye kwa sasa ni wakili. Lissu alishinda na ndiyo model ya debate pale Ilboru mpaka Leo. Huu utamaduni umesaidia sana Ilboru kutoa mawakili waziri sana.

Waziri wetu wa sheria bahati mbaya ni wale wa kurudia sana akaingia form 1 akiwa na miaka 19!! njemba sana kiasi kwamba wenye umri wake tulikuwa form 5 mwaka 1994

Naunga mkono hoja! Mdahalo wa wazi uwe wa watia nia wote wa chadema. Baadaye wakiungana na Vyama vingine ufanyike mdahalo mwingine wa wazi wa watia nia wote waliopitishwa na vyama vyao! Wakitumia media vizuri itabidi hata ccm ilazimike kubadili mikakati waliyokwisha kujiwekea ya kushinda bila kupingwa!
 
Back
Top Bottom