Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Naona mkono hoja asilimia 100. This is a creativity that Chadema must come up with ili sio tu kukitofautisha na CCM Kama Chama bora Bali kuonesha ni kwa jinsi gani wana watu mahiri wenye uwezo haswa. Suala hili litawafanya Chadema wawaonyeshe watanzania kuwa kweli ni Chama makini tena kilicho kwenye viwango vya juu sana.
Naomba Chadema wafanye hili kwa kushirikiana hata na Chanel ya Maria Sarungi . Jambo hili litawatangaza sana na kupita kiasi
Naomba Chadema wafanye hili kwa kushirikiana hata na Chanel ya Maria Sarungi . Jambo hili litawatangaza sana na kupita kiasi