kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Thubutuuu elimu ya unga unga mwanaMagufuli ana uwezo wa kujielezea kisomi zaidi kuliko Lisu na Nyarandu altogether
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuu elimu ya unga unga mwanaMagufuli ana uwezo wa kujielezea kisomi zaidi kuliko Lisu na Nyarandu altogether
Si mkimbie uchaguzi Kama mlivyokimbia uchaguzi wa serikali za mitaa Kama tume sio huru? Sasa kulialia Kama watoto ndio iweje?Acha kupanick mpaka huweki koma wala nukta. Tume ni huru kwenye maandishi ya katiba, ila kwa sasa chini ya awamu hii, katiba ni sawa na gazeti la udaku. Hao wabunge walipatikana wakati demokrasia na katiba ikiwa inaheshimiwa kwa wastani. Ila toka awamu hii ya walevi wa madaraka imeingia, udhaifu wa tume umekuwa wazi kabisa. Kilio cha tume huru ni toka mfumo wa vyama vingi viingie hapa nchini, na sasa chini ya awamu hii, kila mtu kajiridhisha na kilio hicho.
Kama hajui kuongea kaongeaje na waziri mkuu wa India? Ndio ujue wewe Ni nyumbu!! Halafu hushangai mbowe Ni division zeroJibu swal ww nguchiro, hzo nchi ulizozitaja znatumia lugha gan kama lugha rasmi?
Si mkimbie uchaguzi Kama mlivyokimbia uchaguzi wa serikali za mitaa Kama tume sio huru? Sasa kulialia Kama watoto ndio iweje?
Kama hajui kuongea kaongeaje na waziri mkuu wa India? Ndio ujue wewe Ni nyumbu!! Halafu hushangai mbowe Ni division zero
Tumeshazoea utoto wenu sijui lini mtakomaa kisiasa jibu utalipata hiyo OctoberSafari hii tunataka na dunia itambue bila shaka yoyote kuwa tume yetu ya uchaguzi sio huru, na ccm huwa inakaa madarakani bila ridhaa ya umma. Kwahiyo mkae mkao wa kuwekwa ukweli wazi, mbele ya macho ya dunia. Yaani mtafurahi safari hii.
Tumeshazoea utoto wenu sijui lini mtakomaa kisiasa jibu utalipata hiyo October
Nenda Google katafute video zao wakiwa nje ya nchi zao wanaongea lugha gani,Uliona wakiongea kiingereza au uliona picha? Hebu huku kwenye kiingereza ukae kimya, maana unasaka aibu kwa bundle yako.
Nenda Google katafute video zao wakiwa nje ya nchi zao wanaongea lugha gani,
Nenda GoogleYesu amewahi kwenda nje ipi?
Kama hajui kuongea kaongeaje na waziri mkuu wa India? Ndio ujue wewe Ni nyumbu!! Halafu hushangai mbowe Ni division zero
Nenda Google
Usipojua kinachoitwa lugha ya malkia kumbe ni aibu?! Very interesting...Ukitaka kumdhalilisha magufuli weka mdahalo wa lugha ya malikia
Usitegemee dikteta yeyote afanye mdahalo na mtu. Sina shida na Lissu na Nyalandu hawa watamsumbua sana jiwe na kamwe jiwe hawezi kusimama nao kwenye mdhahalo manake ataaibika mno.
Magufuli hawezi kusimama na hao kina doktakumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnafikir uongozi ni kuropokaUsitegemee dikteta yeyote afanye mdahalo na mtu. Sina shida na Lissu na Nyalandu hawa watamsumbua sana jiwe na kamwe jiwe hawezi kusimama nao kwenye mdhahalo manake ataaibika mno.
I agree,kuwe na fair ground ambapo tutachuja nani awe mgombea wetu….
Ujue kuna wakati huwa mnachekesha sana..I agree,kuwe na fair ground ambapo tutachuja nani awe mgombea wetu….
I agree,kuwe na fair ground ambapo tutachuja nani awe mgombea wetu….
Nadhani mleta mada anamaanisha mdahalo wa wagombea ndani ya chama kwanza ambao mpaka sasa ni wanne ( yule mama wa mwanzo kabisa, Peter S. Msigwa, Lazaro Nyalandu na Tundu Lissu...
Baada ya hapo ndipo tunaweza kuona mdahalo na wagombea Urais wa vyama vyote wakichuana kwa hoja....
Hapa ndipo utakapoona shida na woga wa CCM. Pamoja na CCM kujidai wamejenga SGR, bwawa la Stiglers Gorge, ndege za Bombardier, sijui elimu bure, utashangaa
Nadhani mleta mada anamaanisha mdahalo wa wagombea ndani ya chama kwanza ambao mpaka sasa ni wanne ( yule mama wa mwanzo kabisa, Peter S. Msigwa, Lazaro Nyalandu na Tundu Lissu...
Baada ya hapo ndipo tunaweza kuona mdahalo na wagombea Urais wa vyama vyote wakichuana kwa hoja....
Hapa ndipo utakapoona shida na woga wa CCM. Pamoja na CCM kujidai wamejenga SGR, bwawa la Stiglers Gorge, ndege za Bombardier, sijui elimu bure, utashangaa mgombea wao John Pombe hataweza kujitokeza kushiriki kwenye open debate ili kuyasema na kujijitetea mbele ya wenzake....!!
Nawaambia kabisa hili la Magufuli kutoshiriki linakuja na hapa ndipo kila MTU atakaposhangaa....
mgombea wao John Pombe hataweza kujitokeza kushiriki kwenye open debate ili kuyasema na kujijitetea mbele ya wenzake....!!
Nawaambia kabisa hili la Magufuli kutoshiriki linakuja na hapa ndipo kila MTU atakaposhangaa....
wewe jamaa ni bendera fulani hivi. hueleweki ni kipi unasimamia.Dr. Pombe atatikisa jukwaa kwa kumwaga ung'eng'e wa hali ya juu sana.