Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Naunga mkono hoja, tena moderator wa hiyo debate awe pia ni Kaka mkubwa mwenyewe mwana Ilboru mwenzao. Mume wa yule dada Ph.D anayegombea urais Chadema pia ni mwana Ilboru!.
Kiukweli Ilboru usipime!.
P
Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu.
Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za debate Ilboru. Debate yake kubwa ilikuwa mwaka 1986 na topic ya kuhusu Regan kupiga bomu nyumba ya ghadafi oppose wake alikuwa Joseph Mpuya ambaye naye kwa sasa ni wakili. Lissu alishinda na ndiyo model ya debate pale Ilboru mpaka Leo. Huu utamaduni umesaidia sana Ilboru kutoa mawakili waziri sana.
Waziri wetu wa sheria bahati mbaya ni wale wa kurudia sana akaingia form 1 akiwa na miaka 19!! njemba sana kiasi kwamba wenye umri wake tulikuwa form 5 mwaka 1994
Wajinga ni wengi sana kazi zipi alizofanya zakuua watu au?Mdahalo wa nini wakati JPM kazi yake tunaiona na kuiishi?
Fanyeni midahalo nyinyi ambao ni incompetence!
Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu.
Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za debate Ilboru. Debate yake kubwa ilikuwa mwaka 1986 na topic ya kuhusu Regan kupiga bomu nyumba ya ghadafi oppose wake alikuwa Joseph Mpuya ambaye naye kwa sasa ni wakili. Lissu alishinda na ndiyo model ya debate pale Ilboru mpaka Leo. Huu utamaduni umesaidia sana Ilboru kutoa mawakili waziri sana.
Waziri wetu wa sheria bahati mbaya ni wale wa kurudia sana akaingia form 1 akiwa na miaka 19!! njemba sana kiasi kwamba wenye umri wake tulikuwa form 5 mwaka 1994
Magufuri sio jembe hata kidogoNi kichaa tu anaeweza kuamini hizo takataka za chadema zinaweza kushindana na jembe magufuli!!! Achilia mbali kumshinda
Mwaka 2015 chadema ilikimbia mdahalo sijui kipindi hiki wameona nini au wanadhani itawasaidia chama kisife
Acha uongo wee pimbiMwaka 2015 chadema ilikimbia mdahalo sijui kipindi hiki wameona nini au wanadhani itawasaidia chama kisife
Naunga mkono hoja, tena moderator wa hiyo debate awe pia ni Kaka mkubwa mwenyewe mwana Ilboru mwenzao. Mume wa yule dada Ph.D anayegombea urais Chadema pia ni mwana Ilboru!.
Kiukweli Ilboru usipime!.
P
Magufuli ana elimu kubwa sana( ana doctorate ya chuo kikuu cha Dar es salaam) kuliko Lissu na Nyarandu altogetherUsitegemee dikteta yeyote afanye mdahalo na mtu. Sina shida na Lissu na Nyalandu hawa watamsumbua sana jiwe na kamwe jiwe hawezi kusimama nao kwenye mdhahalo manake ataaibika mno.
Unaleta mambo ya form nyoa katika maisha ya sasa
Utake usitake magufuli baba Lao na uchaguzi ujao anawakwatua takataka zoteMagufuri sio jembe hata kidogo
Tuulize tukwambie hiyo "doctorate " nani aliifanya kwa niaba ya mtu pale chemistry department (UDSM) mwaka 2004 na yule lecturer aliyemgawia hiyo kitu ana cheo gani leo hii serikalini, tunajua yote ni suala la muda kabla ya ku-revoke hivyo "doctorate".Magufuli ana elimu kubwa sana( ana doctorate ya chuo kikuu cha Dar es salaam) kuliko Lissu na Nyarandu altogether
Magufuli ana elimu kubwa sana( ana doctorate ya chuo kikuu cha Dar es salaam) kuliko Lissu na Nyarandu altogether
Magufuli ana uwezo wa kujielezea kisomi zaidi kuliko Lisu na Nyarandu altogetherMdahalo has nothing to do with education level. Tuko umemjua umewahi kumuona kwenye mdahalo wowote? Kwenye mdahalo ni uwezo wa kujieleza tu.
Hata kununua elimu nayo ni talantaTuulize tukwambie hiyo "doctorate " nani aliifanya kwa niaba ya mtu pale chemistry department (UDSM) mwaka 2004 na yule lecturer aliyemgawia hiyo kitu ana cheo gani leo hii serikalini, tunajua yote ni suala la muda kabla ya ku-revoke hivyo "doctorate".
Utake usitake magufuli baba Lao na uchaguzi ujao anawakwatua takataka zote
Acha mafumbo, funguka.Naunga mkono hoja, tena moderator wa hiyo debate awe pia ni Kaka mkubwa mwenyewe mwana Ilboru mwenzao. Mume wa yule dada Ph.D anayegombea urais Chadema pia ni mwana Ilboru!.
Kiukweli Ilboru usipime!.
P