Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kituko na kilaza Ni wewe ambae unaamini English ndio Bora kuliko lugha yako
Magufuli ana uwezo wa kujielezea kisomi zaidi kuliko Lisu na Nyarandu altogether
Kwa sababu Hawezi mijadala ya kuongea kimalkia fluently.Kipi kinamfanya awe anakimbia midahalo toka awe kiongozi? Hapo tungeweza kupima huo usomi.
CDM kwa sasa ndiyo "think thank" ya nchi ktk masuala ya uongozi. Naunga mkono hoja iliyopo ndani ya mada hii murua.Napendekeza CHADEMA wafanye debate ya wazi kwa Urais. Napenda vilevile nione wana Ilboru wenzangu Lissu na Nyalandu ambao ndiyo watafaa kwa mawazo yangu.
Kwa wasiojua Lissu aliacha record zake za debate Ilboru. Debate yake kubwa ilikuwa mwaka 1986 na topic ya kuhusu Regan kupiga bomu nyumba ya ghadafi oppose wake alikuwa Joseph Mpuya ambaye naye kwa sasa ni wakili. Lissu alishinda na ndiyo model ya debate pale Ilboru mpaka Leo. Huu utamaduni umesaidia sana Ilboru kutoa mawakili waziri sana.
Waziri wetu wa sheria bahati mbaya ni wale wa kurudia sana akaingia form 1 akiwa na miaka 19!! njemba sana kiasi kwamba wenye umri wake tulikuwa form 5 mwaka 1994
Magufuli ana elimu kubwa sana( ana doctorate ya chuo kikuu cha Dar es salaam) kuliko Lissu na Nyarandu altogether
Tume ni huru na ipo kikatiba na ndio maana chaguzi zote mlishiriki na tume hii hii ndio mkapata wabunge waropokaji hovyo hovyo bungeni Sasa Kama sio huru hata mlevi wa taifa asingekuwa kub!!!Kwa kutumia tume isiyo huru ya uchaguzi, na mbeleko ya vyombo vya dola.
Dr. Pombe atatikisa jukwaa kwa kumwaga ung'eng'e wa hali ya juu sana.Endelea kujidanganya na hayo mavyet
Kwa sababu Hawezi mijadala ya kuongea kimalkia fluently.
Hajazoea kubadilisha mawazo, amezoea kutoa maagizoSijazungumzia midahalo ya kimalikia maana huko kunaeleweka, nimezungumzia midahalo ya kiswahili.
Ingekuwa vituko kwa raisi wa ufaransa wa Russia yule mama wa ujerumani wazungu lakini wanaongea lugha yao acha china Korea Japan na Kama mlevi wa taifa kizungu chake kilimsaidia Nini mbona Ni faillier division zero? Na Jana wakati anaongea na Narendra modi j.mukya alikuwa mkalimani au?So wale walioidhinisha hyo lugha kuwa rasmi ni vituko na vilaza?
Dr. Pombe atatikisa jukwaa kwa kumwaga ung'eng'e wa hali ya juu sana.
Tume ni huru na ipo kikatiba na ndio maana chaguzi zote mlishiriki na tume hii hii ndio mkapata wabunge waropokaji hovyo hovyo bungeni Sasa Kama sio huru hata mlevi wa taifa asingekuwa kub!!!
Ingekuwa vituko kwa raisi wa ufaransa wa Russia yule mama wa ujerumani wazungu lakini wanaongea lugha yao acha china Korea Japan na Kama mlevi wa taifa kizungu chake kilimsaidia Nini mbona Ni faillier division zero? Na Jana wakati anaongea na Narendra modi j.mukya alikuwa mkalimani au?
Naunga mkono mbwa hawawezi kutawala nchi hiiWakati ule upinzani unaanza kuchipukia ktk miaka ile ya 1990's nakumbuka Baba wa Taifa alitoa kauli kuwa hawezi kukubali nchi ikaangukia mikononi mwa MBWA. Lakini kwa mazingira tuliyopo hivi sasa nafikiri imefika wakati wa kutokukubali tena nchi yetu iwe mikononi mwa FISI.
Nahisi hii ingalikuwa ni kauli thabiti kutoka mdomoni mwa Baba wa Taifa ktk mazingira ya kisiasa ya sasa, ijapokuwa mjane wake kahongwa kwa tausi 25, pasipo kuzingatia misimamo yake wala umri wa mjane aliokuwa nao hivi sasa. Na hata pia umuhimu wa hao tausi ktk maisha yake ya sasa ya uzee wake.
Sio kweli, alifoji byana weeMagufuli ana elimu kubwa sana( ana doctorate ya chuo kikuu cha Dar es salaam) kuliko Lissu na Nyarandu altogether
Hajazoea kubadilisha mawazo, amezoea kutoa maagizo
Hilo lipo wazi siku zoteSo matumizi ya nguvu ni makubwa kuliko maarifa!