Uchaguzi 2020 CHADEMA: Fanyeni mdahalo kwenye Urais

Marekani ambapo wametupita kwa kila kitu wanafanya midahalo, sembuse nyinyi ambao hadi leo mnahamasishana kujenga vyoo ndio mjikute mna mambo mengi ya kufanya..

Shenzy type
 
Marekani ambapo wametupita kwa kila kitu wanafanya midahalo, sembuse nyinyi ambao hadi leo mnahamasishana kujenga vyoo ndio mjikute mna mambo mengi ya kufanya..

Shenzy type
Achana na mambo ya jirani sijui kenya wanafanya hivi, sijui Marekani .

Katiba inasema Tanzania ni nchi moja na ni Jamhuri ya Muungano.

Tuko Sovereignity, hatuhitaji kujua Marekan anafanyeje..

Nina hofu na wewe kama ni baba wa familia basi una-copy paste mambo ya familia nyingine unaleta kwako.

Badilika.
 
Kwahiyo midahalo haifai?
 
Jambo gani jipya ambalo unadhani linafanyika nchi mwako lakini halijawahi kufanywa nchi nyingine ?

Kama una akili timamu sio zile za MATAGA, utakubali kwamba hakuna jipya, mengi tunaiga tena tunaiga sana tu.

Nachoweza kukwambia ni kwamba nchi yako imechagua kuiga mambo ya kipumbavu kuliko mambo yenye tija kwa taifa.
 

Naunga mkono hoja! Mdahalo wa wazi uwe wa watia nia wote wa chadema. Baadaye wakiungana na Vyama vingine ufanyike mdahalo mwingine wa wazi wa watia nia wote waliopitishwa na vyama vyao! Wakitumia media vizuri itabidi hata ccm ilazimike kubadili mikakati waliyokwisha kujiwekea ya kushinda bila kupingwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…