Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Matembezi yote yale halafu wakazawadiwa bata mmojammoja!These people suck!😂😂😂😂Ndiyo hivi vilikuwa vinatembea,kwa miguu toka Dar hadi Chato eti kisa kuunga juhudi za yule jamaa
Hivi siyo vya kuvichekea
Labda kwenye masabuli yakoChadema ipo moyoni kwangu
AhahahaMatembezi yote yale halafu wakazawadiwa bata mmojammoja!These people suck!😂😂😂😂
Jibu kwa adabu weye!Alaah!Jibu unalo kamanda
Unatukana wazee wako Eti?Ndiyo maana unalilia mkate wa marehemu.😂😂😂Pumbavu
Watu kama ndio mnaofanya chadema ionakane ni chama cha wanaharakati.Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Chadema ni adui wa magufuli sisi hatuwezi kuwakubari tunangoja chama kipya ,hapo chadema na act cha zitto watashangaa kuwa jpm ana nguvu kubwa baada ya chama hicho kuwa na nguvu kuliko vyama vyote tz,magufuli anakubalika kwa asilimia 90% ya watz 10% ndiyo wanagawana wahuni wa ccm na upinzaniMagufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Kama na wewe ni mmoja wapo wa walio husika kumuua basi jiwekee ulinzi wa kutosha kama wenzako walio husika wanavyo fanya ,mwenzako mkwele anaishi kama digidigi na madoctor wakePeleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Mtu ambaye alikuwa analipa pesa ili watu waje kwenye mikutano alikuwa na wafuasi Gani!? Mwacheni apumzike Hana lolote kwenye ulimwengu WA waliobaki hai!!Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
CCM kindaki ndani na Chadema wapi na wapiWanaChadema wenzangu wenye akili watanielewa. Mpumbavu kama wewe huwezi kuelewa.
Upumbavu Huu ni wa kiwango cha juu sanaPeleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Bwashee chadema yenyewe unayotaka ituvute kwenda kwayo ni ipi, hii hii ambayo mgombea wao ni tundu lisu?Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisad...
Mtaji wenu? Ww na nan? Sema mtaji wao!! Nyie CCM mna mtaji wenu huko!! Over!!Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Hapa kuna haja utueleze vzr kuhusu dish lake kuyumba!! Ni kichaa? Mwehu! Au ana matatizo ya akili? So tupe facts ambazo zinathibitisha madai yako!!Bwashee chadema yenyewe unayotaka ituvute kwenda kwayo ni ipi, hii hii ambayo mgombea wao ni tundu lisu?
Kama ni hiyo basi ushauri wako hautafanya kazi. Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye hazimtoshi #dishlimetilt
Kwanza mnatakiwa mkazikwe Chato.Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi...
Magufuli alikuwa na wafuasi wengi sana. Mama ntilie, machinga, wakulima na watu wa hali ya chini. Yeye aliwaita wanyonge. Hawa ndio mtaji wetu kwa sasa. Tuwatafute na kuwavuta Chadema maana CCM ya sasa imewakataa na imerudi kwa mafisadi.
Tuwapange vizuri na ikifika mwaka 2025 huu ndio mtaji mkubwa kwa ushindi wa kukamata dola.
Nimetoa ushauri naomba uzingatiwe.
Viongozi wengi CHADEMA wenye maono wamestuka hawamtukani tena. Unajua idadi ya kura za machinga Nchi nzima walioharibiwa biashara zao ni wangapi? Wamuona ni SHUJAA wao.Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
Magu alichukiwa na C.C.M na CHADEMA wapiga deal. lakini alipendwa na WANANCHI Walio wengi wenye vipato duni wasio na vyama.Unanuka mdomo.
Tatizo lako la kwanza ni unafiki!! Kwa taarifa yako hata wajinga wanajua wewe ni lisukumagang lipumbafu!WanaChadema wenzangu wenye akili watanielewa. Mpumbavu kama wewe huwezi kuelewa.