CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

Wewe utakuwa vyeti feki uliyetumbuliwa hadi leo huamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki

Dhalimu mwenyewe alikuwa na PhD fake, sasa sijui ni vyeti fake gani alikuwa anapambana navyo.
 
CHADEMA inajitosheleza, ina nguvu ina ushawishi.
 
Acha ujinga we punguani. Unaweza kupata phd fake hapa duniani kirahisi?

Kama rais anaingia madarakani kwa kupora uchaguzi ndio itakuwa kupata PhD, kwa waalimu hawa akina Kabudi, Kitila nk? Hujiulizi kwanini mtu ana PhD lakini hataki kuhojiwa wala PhD yake kuhakikiwa?!
 
Reactions: Qwy
WanaChadema wenzangu wenye akili watanielewa. Mpumbavu kama wewe huwezi kuelewa.
Hakuna mwenye akili atakaye kuelewa, unadhani 2020 wamachinga na mama ntilie hawakupigia kura Chadema?
Kura ziliporwa na Magufuli alivyotaka mwenyewe lakini hakuwa anakubalika kama unavyo fikiri
 
Hivi issue ya makinikia uliamini tumelipwa yale mahela!!🤣🤣🤣🤣 Ndo maan wabongo tunapelekwa tu kama nguchiro!!
 
Kikwete hakula bata, kuna Maza anakula bata huko jamani.....
 
Ni mtaji mkubwa kwako wewe pamoja na mkeo[emoji205][emoji205][emoji205]
Mimi nawaambia chadema leo wakumbuke maneno haya ninayo waambia chama kikuu cha upinzani kitakuwa kile kinacho mkubali JPM hivyo chadema kimesha ondoka kwenye hiyo nafasi ni swala la muda tu ,ikiwa kikianzishwa chama kipya cha wafuasi wa jpm basi ndiyo mwisho wenu chadema na act
 
Hivi issue ya makinikia uliamini tumelipwa yale mahela!!🤣🤣🤣🤣 Ndo maan wabongo tunapelekwa tu kama nguchiro!!
Lisu alikuwa Advocate wa hao wezi. Hakuna na HAKI yote kuisemea CHADEMA kuepuka mwingiliano wa maslah.
 
Hili Jambazi na uaji! limebebwa na Mola wetu ili kutulinda/kutuokoa na mauaji! Wafuasi wa huyu muuaji watakuwa wauaji kama hawataki kukiri kuwa hili lilikuwa jambazi na uaji! I hate you killers!! Tuyatafute yote tuyamalize tukianzie na yule kiazi wa Dar!

 
Huyo ni mwamba wa AFRIKA. Alitetea raslimali zetu zitusaidie. Endelea kutunza picha hiyo muhimu.
 
Lisu alikuwa Advocate wa hao wezi. Hakuna na HAKI yote kuisemea CHADEMA kuepuka mwingiliano wa maslah.
Jibu swal mzee 😂😂 ilikua kila mtanzania apate Noah!! Kuna mamb yalihitaj uhalisia na ukwel kuuaminisha umma, mamb tulikua brainwashed bila kuangalia effects zake ndizo zitasema ukweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…