CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

Huyo ni mwamba wa AFRIKA. Alitetea raslimali zetu zitusaidie. Endelea kutunza picha hiyo muhimu.
Mwamba wa ujambazi afrika na duniani!
Nitaweka hii picha kwa kumbukumbu maalum ya maonyo ya vizazi vijavyo!
 
Reactions: Qwy
Mwamba wa ujambazi afrika na duniani!
Nitaweka hii picha kwa kumbukumbu maalum ya maonyo ya vizazi vijavyo!
Kama ni Mawazo Yako Kweli nayaheshimu. Bt kama umelipwa nashauri Rudi uongezewe Salio maana NYEUPE kamwee haiwezi kuwa BLACK.
 
Kama ni Mawazo Yako Kweli nayaheshimu. Bt kama umelipwa nashauri Rudi uongezewe Salio maana NYEUPE kamwee haiwezi kuwa BLACK.
Ohyaa usitake tulie machozi hapa kwa maumivu makali tuliyopitia!
Ben Saanane damu na siye familia tunamlilia
Wafanyabiasha AM investment wanamlilia kwa kukwapua 3bn kutoka kwenye account zao!
Azory Gwanda familia bado inangojea Baba wa familia arudishwe
Wakazi 359 walitoweshwa huko MKIRU na baadaye maiti kwenye viroba zikaokotwa pembeni mwa bahari ya hindi wakazikwa kama mbwa.
Jambazi mwenzake Sabaya ameshakiri alitumwa na JPM kufanya ujambazi na uuaji.
Jambazi jingine Makonda; Kuna wenzenu wanazuia lisishtakiwe lisije likawaumbua kwa sababu mlishirikiana wengi!
NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Ni jambazi lenye historia inayonuka zaidi ya choo cha stend
 
Reactions: Qwy
Hili wazo lataka akili kubwa .. Siasa haina adui wa milele aka macho Kumchuzi
 
Kama ni Mawazo Yako Kweli nayaheshimu. Bt kama umelipwa nashauri Rudi uongezewe Salio maana NYEUPE kamwee haiwezi kuwa BLACK.
Ni ukweli lile dikteta lilikuwa ni jambazi lililokubuhu, mawazo yake na yangu yameshabihiana.
 
100%
 
Umesahau David Mwangosi kwenye list ndugu na yule Daktar along'olewa kucha
 
Peleka ungiri mbali ww sukuma gang, dhalimu hakuwa na ushawishi wowote zaidi ya ulevi wa madaraka. Angekuwa na hao watu asingenajisi uchaguzi. Ulivyo na gundu hata huko ccm hawakutaki.
.
 
Namshukuru sana JPM maana ameacha kasogeza makao makuu ya wilaya yetu! Maana ilikuwa ndoto na taabu nyingi sana kusafiri kilometa kadhaa kuifuata HUDUMA! Asante Magufuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…