Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini.
Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini kama kwa miongo kadhaa madai ni hayohayo na hayatekelezeki?
Kwa nini CCM inadanganya watu kuhusu hili?
Kuna usemi kuwa Mtu akikudanganya kila siku huku anajua kuwa unajua AMEKUDHARAU.
WATANZANIA CCM INAWADHARAU kwani inajua mtawafanya nini? Hamna cha kufanya.
Hebu msikilizeni Madenge hapa kidogo.