hakikaNi jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na Chadema ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini kama kwa miongo kadhaa madai ni hayohayo na hayatekelezeki?
Kwa nini CCM inadanganya watu kuhusu hili?
Kuna usemi kuwa Mtu akikudanganya kila siku huku anajua kuwa unajua AMEKUDHARAU.
WATANZANIA CCM INAWADHARAU kwani inajua mtawafanya nini? Hamna cha kufanya.
Hebu msikilizeni Madenge hapa kidogo.
View attachment 3305987
Si mara ya kwanza hawa watu kubadili maana au ku twist maneno ya upinzani, ni vile serikali ina double standardsNi jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na Chadema ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini kama kwa miongo kadhaa madai ni hayohayo na hayatekelezeki?
Kwa nini CCM inadanganya watu kuhusu hili?
Kuna usemi kuwa Mtu akikudanganya kila siku huku anajua kuwa unajua AMEKUDHARAU.
WATANZANIA CCM INAWADHARAU kwani inajua mtawafanya nini? Hamna cha kufanya.
Hebu msikilizeni Madenge hapa kidogo.
View attachment 3305987
Duu wengelitoka hata mapovuSi mara ya kwanza hawa watu kubadili maana au ku twist maneno ya upinzani, ni vile serikali ina double standards
Mfano yule aliesema wanaleta ebola na hakuna hatua zozote zimechukuliwa
Angesema vile mtu wa upinzani ungeona vita yake
Inasikitisha kuwa na nchi inayohubiri haki huku ikikumbatia udhurumaji.Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini. Kinachopiganiwa na Chadema ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini kama kwa miongo kadhaa madai ni hayohayo na hayatekelezeki?
Kwa nini CCM inadanganya watu kuhusu hili?
Kuna usemi kuwa Mtu akikudanganya kila siku huku anajua kuwa unajua AMEKUDHARAU.
WATANZANIA CCM INAWADHARAU kwani inajua mtawafanya nini? Hamna cha kufanya.
Hebu msikilizeni Madenge hapa kidogo.
View attachment 3305987
Chama cha ukweli cha siasa kinachowafaa Watanzania nchi hii ni CHADEMA tu.Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini.
Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini kama kwa miongo kadhaa madai ni hayohayo na hayatekelezeki?
Kwa nini CCM inadanganya watu kuhusu hili?
Kuna usemi kuwa Mtu akikudanganya kila siku huku anajua kuwa unajua AMEKUDHARAU.
WATANZANIA CCM INAWADHARAU kwani inajua mtawafanya nini? Hamna cha kufanya.
Hebu msikilizeni Madenge hapa kidogo.
View attachment 3305987
Wanawadanganya kwa AMANI YETU. ila hawasemi chochote kuhusu HAKI ZAO!Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini.