CHADEMA haiji kupata tena nguvu ya ushawishi kama iliyokuwa nayo kabla ya Uchaguzi wa 2015

Sawa dada angu
Nakuhakikishia ndugu yangu ukirudi Mirembe na kupata matibabu mazuri utajikuta umerejea katika hali yako ya ubinadamu mwenye akili Timamu,anayejitambua ,kujielewa na kuwatambua wengine.utajikuta una adabu,staha na heshima ya hali ya juu sana na kuwa mtu mwema wa kupigiwa mfano. Najuwa unafanya haya siyo kwa utashi wako bali ni kwa kuwa kichwa chako hakiko sawa,kimeyumba na kupoteza muelekeo ndio maana huwa muda wote unatukanaga mimatusi na kuropoka tu.
 
Nakuelewa dada angu lakini mshauri na bwashe twende naye
 
Hivi huu ujinga unaofanya kujaza server kwa mabandiko yako yenye maudhui yale yale 24/7 kama siyo utaahira ni nini hiki?
Labda kichwa chako na upeo wako ndio unaona ni yale yale kama ambavyo wewe ni yule yule ambaye mdomoni na kinywa chako kimejaa mimatusi mitupu.
 
Siwapendi CCM hasa hii ya Samia

Pia siwaamini CHADEMA hasa hii ya Mbowe na Lissu.

Tuliwajeñgea matumaini 2010-2015 mwisho wakatuuza kwa Fisadi la CCM Lowasa eti wakadai ni gear ya angani. Tena kwakuvunja katiba ya chama inayotaka ili uwe kiongozi inakulazimu uwe mwanachama kwa miezi isiyopungua sita.

Wananunulika hawa! Wao na CCM Ni kulwa na Dotto. Tulishuhudia Lissu akipambana na Magufuli yeye akiwa upande wa Accasia.

Kikifika kipindi cha uchaguzi ndio muda wao wakupiga hela kushirikiana na watawala.

Wanapopiga kelele ujue wamebanwa wanalilia fursa binafsi sio maslahi ya Nchi na Wananchi.

Kila siku tunaomba tupate upinzani wa kweli ili tutoke kwenye hili SHETANI linaloitwa CCM. CHADEMA km chama hakuna shida ila wanaoiongoza wanatia shaka.
Tukikosa chama kingine na wao wasipofanya mabadiriko hatuna jinsi tutawachagua hivyo hivyo kuliko kubaki na CCM iliyofanya Ikulu kama kijiwe cha wahuni.
LISSU HAFAI KUWA RAIS
apewe cheo kingine ndani ya chama
 
CCM Ndio chama pekee chenye kuaminika mioyoni mwa watanzania,utakuwa na tatizo ukiukataa ukweli huu kuwa CCM ndio chama kinachopaswa kuendelea kuaminiwa na kila mwenye akili Timamu.lazima ukabaki ukweli kuwa Rais Samia ni kiongozi anayepaswa kuendelea kuliongoza Taifa letu kutokana na uzalendo wake pamoja na uchapa kazi wake uliotukuka .
 
Kwasababu upo ndani ya uovu wa serikali ya mama Samia ndio maana huwezi kusikia hata harufu.
Mshaurini huyo mama hali sio nzuri mitaani. Raia wamekata tamaa aache taarab afanye kazi.
Awarudishie matumaini raia waliopoteza matumaini.
Aliyemrithisha hicho kiti aliweza kurudisha matumaini kwa waliopoteza matumaini.
Yeye anaungana na wafanyabiashara, mafisadi, wavivu, ili kuzidi kumuumiza mtu wa chini.
Hafai kuwa kiongozi.
CCM bila Magufuli ingeshaanguka kitambo.
Sasa ndio inaenda kuzikwa rasmi
 
Labda kichwa chako na upeo wako ndio unaona ni yale yale kama ambavyo wewe ni yule yule ambaye mdomoni na kinywa chako kimejaa mimatusi mitupu.
Huna lolote unaandikia kumsifia Samia ili akuone na ndiyo maana unaweka namba za simu lakini ameona uchawa wako ni wa kipumbavu na kishamba ndiyo maana anakupuuza utasugua bench hadi matako yaote sigda. CCM ina wenyewe na wewe siyo mmoja wao wewe wanakuona kibaka tu
 
Upinzani daima Tanzania huwa wanapata umaarufu ikiwa sisi CCM tukiteteleka na kuwa na migogolo ya wenyewe kwa wenyewe.Upinzani TZ haujawahi kuwa na nguvu kutokana na wenyewe.Kama Baba wa Taifa alivyowahi kuwosia CCM kuwa mpinzani wa kweli atatoka CCM.
Sasa hivi tuanze kuwa makini kwa sababu dalili kama zile zilizosababisha Chadema kupata nguvu mwaka 2015 zinaanza kukinyemelea CCM.
 
Mimi sikujiunga CCM kwa ajili ya kutaka madaraka au vyeo.Nipo CCM Kutokana na kuvutiwa na sera pamoja na itikadi zake.kwa kuwa ni chama kisicho na ubaguzi wala kumbagua mtu yeyote yule.
 
Mamilioni ya watanzania kuanzia wakulima,vijana ,akina mama,wazee na makundi mengine mengi sana yana imani kubwa sana na Rais samia kutokana na uchapa kazi wake uliyogusa mioyo yao na kuleta matumaini katika maisha yao.ni wakati huu ambao kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto yake,Ni wakati huu watu wanaiona kesho iliyo njema kila kukicha,ni wakati huu ambapo watu wanaona serikali ikiwa mikononi mwao na inafanya kazi kwa niaba yao na kwa ajili yao.ndio maana wanaendelea kuiunga mkono serikali na chama cha Mapinduzi.
 
Toka nje kumekucha mzee!
 
Kuna mwenzako alisema ataiua chadema kabla ya 2020, cha ajabu yeye alifariki kabla hailjaiua chadema

Endeleeni kuota
 
Kua mvumilivu na weka akib ya maneno wacha 2030 ifike tuone
 
Wajinga aina yako ndio waliongeza 0 .Hivi unafikiri kuna mwana mbali mjinga ambaye angeweza kuwapeni kutajwa dharau za kuhutubia mkutano kwa njia ya simu?
Hata CCM kuna wapumbavu wengi.Hivi unafikiri kuna wajinga kiasi chakwako uteuliwe kwasababu ya mavi yako unakunya hapa ?Tafuta mbinu nyingine ili angalau wakupatie kajob kakubrashi viatu vya kiongozi wajumba 10.
 
Hata CCM kuna wapumbavu wengi.Hivi unafikiri kuna wajinga kiasi chakwako uteuliwe kwasababu ya mavi yako unakunya hapa ?Tafuta mbinu nyingine ili angalau wakupatie kajob kakubrashi viatu vya kiongozi wajumba 10.
Hapana mimi sitafuti uteuzi bali naandika kile nachokiamini kulingana na mtizamo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…