Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Sawa dada anguWewe nakushauri ufuate matibabu pale Mirembe haraka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dada anguWewe nakushauri ufuate matibabu pale Mirembe haraka sana
Nakuhakikishia ndugu yangu ukirudi Mirembe na kupata matibabu mazuri utajikuta umerejea katika hali yako ya ubinadamu mwenye akili Timamu,anayejitambua ,kujielewa na kuwatambua wengine.utajikuta una adabu,staha na heshima ya hali ya juu sana na kuwa mtu mwema wa kupigiwa mfano. Najuwa unafanya haya siyo kwa utashi wako bali ni kwa kuwa kichwa chako hakiko sawa,kimeyumba na kupoteza muelekeo ndio maana huwa muda wote unatukanaga mimatusi na kuropoka tu.Sawa dada angu
Nakuelewa dada angu lakini mshauri na bwashe twende nayeNakuhakikishia ndugu yangu ukirudi Mirembe na kupata matibabu mazuri utajikuta umerejea katika hali yako ya ubinadamu mwenye akili Timamu,anayejitambua ,kujielewa na kuwatambua wengine.utajikuta una adabu,staha na heshima ya hali ya juu sana na kuwa mtu mwema wa kupigiwa mfano. Najuwa unafanya haya siyo kwa utashi wako bali ni kwa kuwa kichwa chako hakiko sawa,kimeyumba na kupoteza muelekeo ndio maana huwa muda wote unatukanaga mimatusi na kuropoka tu.
Hivi huu ujinga unaofanya kujaza server kwa mabandiko yako yenye maudhui yale yale 24/7 kama siyo utaahira ni nini hiki?Ninakushauri uipuuze kwanza mibangi unayovuta bila kikomo wala kipimo ili akili yako irejee kichwani
Labda kichwa chako na upeo wako ndio unaona ni yale yale kama ambavyo wewe ni yule yule ambaye mdomoni na kinywa chako kimejaa mimatusi mitupu.Hivi huu ujinga unaofanya kujaza server kwa mabandiko yako yenye maudhui yale yale 24/7 kama siyo utaahira ni nini hiki?
Utakwenda pekee yako maana wewe ndiye mgonjwa unayehitaji matibabu ya dharulaNakuelewa dada angu lakini mshauri na bwashe twende naye
Sasa mumeo si anasindikizeUtakwenda pekee yako maana wewe ndiye mgonjwa unayehitaji matibabu ya dharula
CCM Ndio chama pekee chenye kuaminika mioyoni mwa watanzania,utakuwa na tatizo ukiukataa ukweli huu kuwa CCM ndio chama kinachopaswa kuendelea kuaminiwa na kila mwenye akili Timamu.lazima ukabaki ukweli kuwa Rais Samia ni kiongozi anayepaswa kuendelea kuliongoza Taifa letu kutokana na uzalendo wake pamoja na uchapa kazi wake uliotukuka .Siwapendi CCM hasa hii ya Samia
Pia siwaamini CHADEMA hasa hii ya Mbowe na Lissu.
Tuliwajeñgea matumaini 2010-2015 mwisho wakatuuza kwa Fisadi la CCM Lowasa eti wakadai ni gear ya angani. Tena kwakuvunja katiba ya chama inayotaka ili uwe kiongozi inakulazimu uwe mwanachama kwa miezi isiyopungua sita.
Wananunulika hawa! Wao na CCM Ni kulwa na Dotto. Tulishuhudia Lissu akipambana na Magufuli yeye akiwa upande wa Accasia.
Kikifika kipindi cha uchaguzi ndio muda wao wakupiga hela kushirikiana na watawala.
Wanapopiga kelele ujue wamebanwa wanalilia fursa binafsi sio maslahi ya Nchi na Wananchi.
Kila siku tunaomba tupate upinzani wa kweli ili tutoke kwenye hili SHETANI linaloitwa CCM. CHADEMA km chama hakuna shida ila wanaoiongoza wanatia shaka.
Tukikosa chama kingine na wao wasipofanya mabadiriko hatuna jinsi tutawachagua hivyo hivyo kuliko kubaki na CCM iliyofanya Ikulu kama kijiwe cha wahuni.
LISSU HAFAI KUWA RAIS
apewe cheo kingine ndani ya chama
Kwasababu upo ndani ya uovu wa serikali ya mama Samia ndio maana huwezi kusikia hata harufu.CCM Ndio chama pekee chenye kuaminika mioyoni mwa watanzania,utakuwa na tatizo ukiukataa ukweli huu kuwa CCM ndio chama kinachopaswa kuendelea kuaminiwa na kila mwenye akili Timamu.lazima ukabaki ukweli kuwa Rais Samia ni kiongozi anayepaswa kuendelea kuliongoza Taifa letu kutokana na uzalendo wake pamoja na uchapa kazi wake uliotukuka .
Huna lolote unaandikia kumsifia Samia ili akuone na ndiyo maana unaweka namba za simu lakini ameona uchawa wako ni wa kipumbavu na kishamba ndiyo maana anakupuuza utasugua bench hadi matako yaote sigda. CCM ina wenyewe na wewe siyo mmoja wao wewe wanakuona kibaka tuLabda kichwa chako na upeo wako ndio unaona ni yale yale kama ambavyo wewe ni yule yule ambaye mdomoni na kinywa chako kimejaa mimatusi mitupu.
Upinzani daima Tanzania huwa wanapata umaarufu ikiwa sisi CCM tukiteteleka na kuwa na migogolo ya wenyewe kwa wenyewe.Upinzani TZ haujawahi kuwa na nguvu kutokana na wenyewe.Kama Baba wa Taifa alivyowahi kuwosia CCM kuwa mpinzani wa kweli atatoka CCM.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uchaguzi ule utabaki katika historia ya wengi sana,utabaki kama ukumbusho wa kilele cha mafanikio ambayo upinzani ulikuwa umefikia katika kuteka mioyo ya watu,ulikuwa ni wakati ambao upinzani ulikuwa hata ukitangaza asubuhi kuwa mchana kutakuwa na mkutano watu walikuwa wanajitokeza kwa wingi sana. Ni uchaguzi wa kipekee ni uchaguzi wa mbwembwe za aina zote,ni uchaguzi wa aina yake,ulitikisa na Taifa likatetemeka kwa mbwembwe za wanasiasa majukwaani.
Ulitutikisa sana ule uchaguzi wana CCM,ulitutetemesha na kutikisa mioyo yetu hasa kwa wale waliokuwa na mioyo miepesi walitikisika na kutetemeka sana lakini kwa wenye mioyo migumu na ya chuma aina yangu niliwaambia kuwa CCM ni chama kiongozi na katu na kamwe upinzani wa nchi hii hauwezi kupewa Nchi na watanzania wote wenye akili Timamu na mapenzi mema na Taifa letu ,kwa kuwa wapinzani wataliwasha moto Taifa letu na kuliangamiza wakipewa nchi .
Wenye mioyo miepesi walikuwa na hofu na kutetemeka kwa kuwa hawakuamini macho yao kuona mawaziri wakuu wawili wastaafu kwa pamoja wakiungana kwa pamoja kwenda chama kikuu cha upinzani nchini,hawakuamini macho yao walipoona vijana mbalimbali kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wakiwa upinzani na kujiona fahari kuwa upinzani.
Hawakuamini macho yao na walitetemeka walipoona ni ngumu kuvaa sare za CCM na kupita nazo mjini, walitetemeka sana walipoona watu mbalimbali wakirudisha kadi za chama na kujiunga na upinzani na wengine wakitamba kwa kauli zao za ulipo tupo.kwa hakika ulikuwa ni mtikisiko sana hasa kwa watu mliowaamini kuwa nao pamoja halafu wanakuja kuwasaliti mwishoni bila kutarajia. Usaliti unaumiza na kwa hakika kuna watu waliiumiza CCM kwa usaliti katika uchaguzi ule.
Tulijikuta tunaumizana sisi kwa sisi, yupo aliyekosa nafasi ya kugombea udiwani au ubunge au Urais Akaamua kukihama chama na kuungana na upinzani,na wengine walibaki lakini ushiriki wao ukawa ni mdogo ambapo ni kama wakawa hawajavunja makundi na kuamua kukipigania chama kwa jasho na machozi.
Asante kwa wazee wetu waliojitoa na kuendelea kukiunganisha chama na kuendelea kukipigania chama kwa jasho, maumivu na uchovu mkubwa sana wa mwili.hali Hiyo ilileta morali na nguvu kwa wanachama wote kuendelea kukipigania na kukipambania chama chetu,iliwapa nguvu vijana kwakuwa waliona iliwapasa kuwa msitari wa mbele kukipigania chama.
kwakuwa wazee wetu kama akina mzee Kikwete,mzee Mwinyi,mzee mkapa,mzee kinana,mzee makamba,mzee Mangula ,mzee Malecela ,mzee Pius msekwa walishakipigania chama Tangia wakati wa ujana wao mpaka uzee wao,hivyo ilikuwa ni wakati wa vijana kuwapokea wazee hawa kazi ya kukipigania chama chao ili kishinde kwa kishindo katika nafasi zote.
Mfumo imara na thabiti wa CCM Ndio nguzo inayoendelea kuibeba CCM ,Ndio inayoendelea kuifanya CCM kuwepo madarakani mpaka leo hii, kwa kuwa ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa ndani ya CCM ,Ndani ya CCM Chama Ndio kikubwa kuliko mtu, CCM Inajiendesha kitaasisi na siyo kumtegemea mtu mmoja au kikundi fulani.
Ndani ya CCM Kila mwanachama ana nafasi ya kukijenga chama ila hana nafasi ya kukiua chama au kuondoka na chama mfukoni mwake. Ndio maana ukileta ujeuri na kiburi unatupwa nje ya Uzio na chama kinasonga mbele pasipo kutetemeka wala kuyumba,kama huamini na unaamini wewe ni mkubwa kuliko CCM na unaweza kukiua chama basi wewe jaribu kuondoka leo uone kama kuna atakayekufuata.
Leo chama ni imara na madhubuti kuliko wakati mwingine wowote,leo chama kinakimbiliwa na kila mtu,leo kadi za CCM zinatafutwa Kama Dhahabu,leo vijana wa vyuo vikuu wanajiona fahari kuwa wana CCM ,Leo watu wanavaa sare za CCM popote pale bila hofu wala wasiwasi wowote ule, leo ni heshima kujitambulisha kuwa ni mwana CCM .Hii yote ni kwa kuwa kuna machozi ,jasho na Damu ya wana CCM waliokipambania Chama.
wapo waliokifia chama hiki,wapo walioumizwa kwa sababu ya kukipigania chama hiki ,wapo waliojeruhiwa kwa kukipambania chama hiki. Lakini pamoja na kukipigania chama chetu hiki kwa jasho ,damu na machozi bado hawajawahi kujiweka juu ya chama au kuhitaji malipo au fadhila au vyeo au madaraka bali walifanya kazi hiyo kwa uzalendo na upendo kwa chama chetu.
Hivyo vijana na wanachama wote tunakila sababu ya kujifunza kwa somo hili kuwa ndani ya CCM hatugawani vyeo au madaraka au mamlaka bali tunagawana majukumu ya kukipigania chama na kuhakikisha kuwa kinaendelea kusalia madarakani na kinawatumikia vyema watanzania kwa kuwaletea matokea chanya na maisha bora yenye kuleta matumaini katika maisha yao.
Tunapaswa kujifunza kuwa hata ikitokea umekosa nafasi ya kugombea uongozi fulani basi huna budi kumuunga mkono yule anayekuwa amepitishwa na chama kama ambavyo alifanya mzee wetu Kikwete kwa mkapa japo alikuwa na nguvu kubwa tu na ushawishi ndani ya chama na wanachama 1995,tujuwe kuwa kama ilipangwa na Mungu uje uwe kiongozi wa ngazi fulani basi lazima itafika siku Mungu atakuinua na kukupa nafasi hiyo katika njia anazozijuwa mwenyewe Mungu.
Kwa sasa ni ngumu kwa upinzani kuja kupata na kurejesha ile nguvu iliyo kuwa nayo CHADEMA wakati huo,kwa kuwa kwa sasa ilishapoteza imani na kuaminika machoni na mioyoni mwa watanzania, ilisha Kimbiwa na makundi yote yaliyo kuwa yakiwaunga mkono ,ilisha poteza viongozi wote mahili waliokuwa wanaaminika ndani ya chama na nje ya chama,ilishaacha na kuitupa na kuisaliti misingi yake iliyokuwa imeipatia umaarufu.
Lakini kubwa ni kuwa CCM ilishajisahihishaa makosa yake yaliyokitesa,kukiumiza , kukijeruhi na kutishia uhai wake ndio maana kwa sasa CCM Ni Imara, madhubuti na yenye nguvu isiyo pimika,ndio maana inaendelea kupokea na kusajili wananchama wapya kila iitwayo leo,ndio maana inaendelea kuwa Tumaini la watanzania na chama kiongozi barani Afrika. ndio maana watu na viongozi mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali wanakuja kujifunza na kupata uzoefu ndani ya CCM. Nawakaribisheni ambao bado mpo nje ya CCM mje mjiunge na CCM na kuwa sehemu ya kulijenga Taifa letu na kuachana na CHADEMA ambao walishapoteana muda mrefu na kila mmoja anaogelea kivyake na kupiga Mbizi kuelekea uelekeo wake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mimi sikujiunga CCM kwa ajili ya kutaka madaraka au vyeo.Nipo CCM Kutokana na kuvutiwa na sera pamoja na itikadi zake.kwa kuwa ni chama kisicho na ubaguzi wala kumbagua mtu yeyote yule.Huna lolote unaandikia kumsifia Samia ili akuone na ndiyo maana unaweka namba za simu lakini ameona uchawa wako ni wa kipumbavu na kishamba ndiyo maana anakupuuza utasugua bench hadi matako yaote sigda. CCM ina wenyewe na wewe siyo mmoja wao wewe wanakuona kibaka tu
Mamilioni ya watanzania kuanzia wakulima,vijana ,akina mama,wazee na makundi mengine mengi sana yana imani kubwa sana na Rais samia kutokana na uchapa kazi wake uliyogusa mioyo yao na kuleta matumaini katika maisha yao.ni wakati huu ambao kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto yake,Ni wakati huu watu wanaiona kesho iliyo njema kila kukicha,ni wakati huu ambapo watu wanaona serikali ikiwa mikononi mwao na inafanya kazi kwa niaba yao na kwa ajili yao.ndio maana wanaendelea kuiunga mkono serikali na chama cha Mapinduzi.Kwasababu upo ndani ya uovu wa serikali ya mama Samia ndio maana huwezi kusikia hata harufu.
Mshaurini huyo mama hali sio nzuri mitaani. Raia wamekata tamaa aache taarab afanye kazi.
Awarudishie matumaini raia waliopoteza matumaini.
Aliyemrithisha hicho kiti aliweza kurudisha matumaini kwa waliopoteza matumaini.
Yeye anaungana na wafanyabiashara, mafisadi, wavivu, ili kuzidi kumuumiza mtu wa chini.
Hafai kuwa kiongozi.
CCM bila Magufuli ingeshaanguka kitambo.
Sasa ndio inaenda kuzikwa rasmi
Toka nje kumekucha mzee!Mamilioni ya watanzania kuanzia wakulima,vijana ,akina mama,wazee na makundi mengine mengi sana yana imani kubwa sana na Rais samia kutokana na uchapa kazi wake uliyogusa mioyo yao na kuleta matumaini katika maisha yao.ni wakati huu ambao kila mtu anamatumaini ya kutimiza ndoto yake,Ni wakati huu watu wanaiona kesho iliyo njema kila kukicha,ni wakati huu ambapo watu wanaona serikali ikiwa mikononi mwao na inafanya kazi kwa niaba yao na kwa ajili yao.ndio maana wanaendelea kuiunga mkono serikali na chama cha Mapinduzi.
Kuna mwenzako alisema ataiua chadema kabla ya 2020, cha ajabu yeye alifariki kabla hailjaiua chademaNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika uchaguzi ule utabaki katika historia ya wengi sana,utabaki kama ukumbusho wa kilele cha mafanikio ambayo upinzani ulikuwa umefikia katika kuteka mioyo ya watu,ulikuwa ni wakati ambao upinzani ulikuwa hata ukitangaza asubuhi kuwa mchana kutakuwa na mkutano watu walikuwa wanajitokeza kwa wingi sana. Ni uchaguzi wa kipekee ni uchaguzi wa mbwembwe za aina zote,ni uchaguzi wa aina yake,ulitikisa na Taifa likatetemeka kwa mbwembwe za wanasiasa majukwaani.
Ulitutikisa sana ule uchaguzi wana CCM,ulitutetemesha na kutikisa mioyo yetu hasa kwa wale waliokuwa na mioyo miepesi walitikisika na kutetemeka sana lakini kwa wenye mioyo migumu na ya chuma aina yangu niliwaambia kuwa CCM ni chama kiongozi na katu na kamwe upinzani wa nchi hii hauwezi kupewa Nchi na watanzania wote wenye akili Timamu na mapenzi mema na Taifa letu ,kwa kuwa wapinzani wataliwasha moto Taifa letu na kuliangamiza wakipewa nchi .
Wenye mioyo miepesi walikuwa na hofu na kutetemeka kwa kuwa hawakuamini macho yao kuona mawaziri wakuu wawili wastaafu kwa pamoja wakiungana kwa pamoja kwenda chama kikuu cha upinzani nchini,hawakuamini macho yao walipoona vijana mbalimbali kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini wakiwa upinzani na kujiona fahari kuwa upinzani.
Hawakuamini macho yao na walitetemeka walipoona ni ngumu kuvaa sare za CCM na kupita nazo mjini, walitetemeka sana walipoona watu mbalimbali wakirudisha kadi za chama na kujiunga na upinzani na wengine wakitamba kwa kauli zao za ulipo tupo.kwa hakika ulikuwa ni mtikisiko sana hasa kwa watu mliowaamini kuwa nao pamoja halafu wanakuja kuwasaliti mwishoni bila kutarajia. Usaliti unaumiza na kwa hakika kuna watu waliiumiza CCM kwa usaliti katika uchaguzi ule.
Tulijikuta tunaumizana sisi kwa sisi, yupo aliyekosa nafasi ya kugombea udiwani au ubunge au Urais Akaamua kukihama chama na kuungana na upinzani,na wengine walibaki lakini ushiriki wao ukawa ni mdogo ambapo ni kama wakawa hawajavunja makundi na kuamua kukipigania chama kwa jasho na machozi.
Asante kwa wazee wetu waliojitoa na kuendelea kukiunganisha chama na kuendelea kukipigania chama kwa jasho, maumivu na uchovu mkubwa sana wa mwili.hali Hiyo ilileta morali na nguvu kwa wanachama wote kuendelea kukipigania na kukipambania chama chetu,iliwapa nguvu vijana kwakuwa waliona iliwapasa kuwa msitari wa mbele kukipigania chama.
kwakuwa wazee wetu kama akina mzee Kikwete,mzee Mwinyi,mzee mkapa,mzee kinana,mzee makamba,mzee Mangula ,mzee Malecela ,mzee Pius msekwa walishakipigania chama Tangia wakati wa ujana wao mpaka uzee wao,hivyo ilikuwa ni wakati wa vijana kuwapokea wazee hawa kazi ya kukipigania chama chao ili kishinde kwa kishindo katika nafasi zote.
Mfumo imara na thabiti wa CCM Ndio nguzo inayoendelea kuibeba CCM ,Ndio inayoendelea kuifanya CCM kuwepo madarakani mpaka leo hii, kwa kuwa ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa ndani ya CCM ,Ndani ya CCM Chama Ndio kikubwa kuliko mtu, CCM Inajiendesha kitaasisi na siyo kumtegemea mtu mmoja au kikundi fulani.
Ndani ya CCM Kila mwanachama ana nafasi ya kukijenga chama ila hana nafasi ya kukiua chama au kuondoka na chama mfukoni mwake. Ndio maana ukileta ujeuri na kiburi unatupwa nje ya Uzio na chama kinasonga mbele pasipo kutetemeka wala kuyumba,kama huamini na unaamini wewe ni mkubwa kuliko CCM na unaweza kukiua chama basi wewe jaribu kuondoka leo uone kama kuna atakayekufuata.
Leo chama ni imara na madhubuti kuliko wakati mwingine wowote,leo chama kinakimbiliwa na kila mtu,leo kadi za CCM zinatafutwa Kama Dhahabu,leo vijana wa vyuo vikuu wanajiona fahari kuwa wana CCM ,Leo watu wanavaa sare za CCM popote pale bila hofu wala wasiwasi wowote ule, leo ni heshima kujitambulisha kuwa ni mwana CCM .Hii yote ni kwa kuwa kuna machozi ,jasho na Damu ya wana CCM waliokipambania Chama.
wapo waliokifia chama hiki,wapo walioumizwa kwa sababu ya kukipigania chama hiki ,wapo waliojeruhiwa kwa kukipambania chama hiki. Lakini pamoja na kukipigania chama chetu hiki kwa jasho ,damu na machozi bado hawajawahi kujiweka juu ya chama au kuhitaji malipo au fadhila au vyeo au madaraka bali walifanya kazi hiyo kwa uzalendo na upendo kwa chama chetu.
Hivyo vijana na wanachama wote tunakila sababu ya kujifunza kwa somo hili kuwa ndani ya CCM hatugawani vyeo au madaraka au mamlaka bali tunagawana majukumu ya kukipigania chama na kuhakikisha kuwa kinaendelea kusalia madarakani na kinawatumikia vyema watanzania kwa kuwaletea matokea chanya na maisha bora yenye kuleta matumaini katika maisha yao.
Tunapaswa kujifunza kuwa hata ikitokea umekosa nafasi ya kugombea uongozi fulani basi huna budi kumuunga mkono yule anayekuwa amepitishwa na chama kama ambavyo alifanya mzee wetu Kikwete kwa mkapa japo alikuwa na nguvu kubwa tu na ushawishi ndani ya chama na wanachama 1995,tujuwe kuwa kama ilipangwa na Mungu uje uwe kiongozi wa ngazi fulani basi lazima itafika siku Mungu atakuinua na kukupa nafasi hiyo katika njia anazozijuwa mwenyewe Mungu.
Kwa sasa ni ngumu kwa upinzani kuja kupata na kurejesha ile nguvu iliyo kuwa nayo CHADEMA wakati huo,kwa kuwa kwa sasa ilishapoteza imani na kuaminika machoni na mioyoni mwa watanzania, ilisha Kimbiwa na makundi yote yaliyo kuwa yakiwaunga mkono ,ilisha poteza viongozi wote mahili waliokuwa wanaaminika ndani ya chama na nje ya chama,ilishaacha na kuitupa na kuisaliti misingi yake iliyokuwa imeipatia umaarufu.
Lakini kubwa ni kuwa CCM ilishajisahihishaa makosa yake yaliyokitesa,kukiumiza , kukijeruhi na kutishia uhai wake ndio maana kwa sasa CCM Ni Imara, madhubuti na yenye nguvu isiyo pimika,ndio maana inaendelea kupokea na kusajili wananchama wapya kila iitwayo leo,ndio maana inaendelea kuwa Tumaini la watanzania na chama kiongozi barani Afrika. ndio maana watu na viongozi mbalimbali kutoka mataifa mbalimbali wanakuja kujifunza na kupata uzoefu ndani ya CCM. Nawakaribisheni ambao bado mpo nje ya CCM mje mjiunge na CCM na kuwa sehemu ya kulijenga Taifa letu na kuachana na CHADEMA ambao walishapoteana muda mrefu na kila mmoja anaogelea kivyake na kupiga Mbizi kuelekea uelekeo wake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hata CCM kuna wapumbavu wengi.Hivi unafikiri kuna wajinga kiasi chakwako uteuliwe kwasababu ya mavi yako unakunya hapa ?Tafuta mbinu nyingine ili angalau wakupatie kajob kakubrashi viatu vya kiongozi wajumba 10.Wajinga aina yako ndio waliongeza 0 .Hivi unafikiri kuna mwana mbali mjinga ambaye angeweza kuwapeni kutajwa dharau za kuhutubia mkutano kwa njia ya simu?
Hapana mimi sitafuti uteuzi bali naandika kile nachokiamini kulingana na mtizamo wangu.Hata CCM kuna wapumbavu wengi.Hivi unafikiri kuna wajinga kiasi chakwako uteuliwe kwasababu ya mavi yako unakunya hapa ?Tafuta mbinu nyingine ili angalau wakupatie kajob kakubrashi viatu vya kiongozi wajumba 10.