- Thread starter
- #41
Kwa matusi?Bado wanajipanga
Wanasubiri energy ya Mzee Wasira ishuke ili wakitoka waanze kumponda kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa matusi?Bado wanajipanga
Wanasubiri energy ya Mzee Wasira ishuke ili wakitoka waanze kumponda kichwani
Vuta subira tuKwa matusi?
Hakuna timu kwa sasa hivi - uchaguzi ukishaisha CDM ni moja na Lissu ndiyo kamanda wake mkuu.Team Mbowe au Team Gombe? Punguza jazba....budget chama lazima iangaliwe....wanajipanga tuliza mshonoo
Na pesa na maboya wa kzmkz mmezipigaa??? Wenjeeeee.....abdulllllHakuna timu kwa sasa hivi - uchaguzi ukishaisha CDM ni moja na Lissu ndiyo kamanda wake mkuu.
Chadema hamna chawa ila wapo wazalendo wa taifa hili.Yaani hata mitandaoni wanamtegemea Erythrocyte ambaye ni chawa wa Mbowe!
Kwani kapiga energy ngapi?Bado wanajipanga
Wanasubiri energy ya Mzee Wasira ishuke ili wakitoka waanze kumponda kichwani
Ninawafahamu viongozi wa Chadema kwa maisha yao binafsi. Hakuna mzalendo pale!Chadema hamna chawa ila wapo wazalendo wa taifa hili.
Vipi wakwako unaowaamini mzalendo nani?Ninawafahamu viongozi wa Chadema kwa maisha yao binafsi. Hakuna mzalendo pale!
Viongozi wa chama changu Cha CCM ambao wameiongoza nchi hii tangu baada ya uhuru hadi sasa. Viongozi ambao wameiongoza nchi hii kwa amani na upendo kiasi hata wewe unaishi kwa amani na familia yako kama unayo.Vipi wakwako unaowaamini mzalendo nani?
Yule Mzee lazima anatumia dawa za Pressure na kisukari, kwahiyo wanasubiri Sukari ishuke kisha waanze kumponda Kwa hoja ngumu hadi akapewe Kitanda Kwa Prof Janabi 🤗Kwani kapiga energy ngapi?