Uchaguzi 2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

Mbowe na busara na msimamo wake umewachanganya upande wa pili.. Huyu utakuta ni Bashite kwa sababu anamnyima usingizi sana--
 

karibu JF.
Kila laheri Mkuu!
 
@mushi massawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods ebu kuweni fair na kulinda heshima ya Jf na watu walioko humu.
 
Sioni saini za wanakilimanjaro, huenda huu ni udaku tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wetu walipomzomea mlisema hivihivi ati wamenunuliwa. Haya maana sisi umri umeenda tumeshaona mengi.
 
Tume ikiwa huru na haki hakuna jimbo CCM itakaa ishinde hata moja nchi hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaa we mchaga Wa wapi mkuu? Kishumundu au kibosho? Maana naona umeamua kuwasemea wachaga wote hata kabla hawajapiga kura.
 
Hata mimi ni mpinzani lakin nakubaliana na hilo... jimbo langu ni vunjo tulimchagua mbatia lakini hakuna lolote alilofanya boara hata arudi mrema tutampa kura[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi ni mpinzani lakin nakubaliana na hilo... jimbo langu ni vunjo tulimchagua mbatia lakini hakuna lolote alilofanya boara hata arudi mrema tutampa kura[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaa, mnyukano mkali uko uchagani.sisi tangu Uhuru jimbo letu Ni mbunge Wa ccm lakini hakuna jipya.angalau nyie huko uchagani barabara za lami mpaka milimani dah.ila mwanadamu hana shukrani
 
Wewe ndo mgawaji wa majimbo? Halafu huwa najiuliza,toka tupate Uhuru mpaka mfumo wa vyama vingi unaanzishwa majimbo yote yalikuwa chini ya chama gani? Je,kuwa na chama kimoja ndo maendeleo huja haraka? Muda Fulani tujaribu kupevuka kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaa mchaga akiona senti pahali husifia sana, nimeamini.huko uchagani mmefanyiwa mengi tu. Ila hapa unaleta unafiki tu.tangu Uhuru mmependelewa sana sio Na jpm tu.marais wote waliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…