LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mkuu unazungumzia wachaga Wa wapi? Wa kishumundu, kibosho, machame, rombo au marangu?Moshi mjini ilikosea Sana kuwapa chadema Jimbo,na kwa hakika jambohilo wachaga hawato lirudia tena chaguzi hii
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mnatuangusha sana i see... Nasikia hata hotuba ya bajeti ya waziri mkuu Mbowe ameshindwa kujibu. Analeta lugha mbovu na malalamiko ambayo hayapo kwenye bajeti. Tunamsubiri hai we ngoja.Propaganda za kitoto na zakizamani sana ndio Watanzania wote wajue hicho chama cha mambumbumbu
CCM ni chama kilichoishiwa ktk kila nyanja kinasaidiwa kwa msaada wa nguvu ya vyombo vya dola
Nchi mnaipekeka kwenye vita vya sisi kwa sisiMnatuangusha sana i see... Nasikia hata hotuba ya bajeti ya waziri mkuu Mbowe ameshindwa kujibu. Analeta lugha mbovu na malalamiko ambayo hayapo kwenye bajeti. Tunamsubiri hai we ngoja.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila Jf raha sana aiseeUlichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.
Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga
Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?
TUme huru ya uchaguzi? Au kiburi chako kinatoka wapi?Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.
Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.
Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Never bwashee labda sio Tz.Nchi mnaipekeka kwenye vita vya sisi kwa sisi
Wote kwa ujumla wao awawezi uona Moshi inakwenda kishamba chini ya chadema na nguvu zao zote Ni uikanyaga na kuitupilia mbali,nimekua Moshi mjini kwa kipindi Cha mwezi na nusu mwaka jana nikitembea huku nakule kwenye mtaa tofauti SI majengo,njoro,kcmc,soweto,mbuyuni,rau juu na chini,ushirika,shanti,kiboriloni, mabogini hadi KDC, kote mazungumzo Ni kuichoka chadema na Sasa wanataka kuwabwaga hawaoni tofauti ya kuwa na mbunge kutoka CCM Wala chadema zaidi wanaona kukosa vingi chini ya wongozi wa chademaMkuu unazungumzia wachaga Wa wapi? Wa kishumundu, kibosho, machame, rombo au marangu?
Ulichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.
Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga
Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?
CCM dawa yenu Tume Huru...najua nikitaja tume huru mnanunaa na mtanuna saana mmeshazoea kuwafanya watanzania mazezeta hawajui kitu.. sasa ni hivi...Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.
Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.
Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Bwashee hilo jina la Mushi Masawe limechanganya koo mbili ili kuonyesha msisitizo nini?Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.
Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.
Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.
Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.
Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Kweli ni Lb7! Amekurupushwa akakurupuka. CDM inawatia wazimu upande ule hadi huruma.aiiiseeee wewe kyasaka a.k.a Lumumba buku 7
hakunaga Mushi Masawe babangu.!
badili tena hiyo I'd...umeingia cha ki cha kikekweli
Ulichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.
Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga
Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?
57:735485574777477=752555721245574/421=457=7==-=54572255742235=7744422255=72=247:654Mkuu, ungepunguza sauti na kisha jazba kushuka labda ungeongea point.
Inawezekana sana una jambo la kusema, lakini tu umekuwa na jazba kuu.
Ebu ngoja kwanza tupambane na Cvid19, na watakao pona watakuja waendelee na siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea hapo mkuu. Wachagga wa hayo maeneo ndio wana ajili type ya mushi massawe ?Haahaa we mchaga Wa wapi mkuu? Kishumundu au kibosho? Maana naona umeamua kuwasemea wachaga wote hata kabla hawajapiga kura.
Mataifa mengi yalikuwa yakisema hivyoNever bwashee labda sio Tz.
Ndio Tz hii babu yangu Mushi na Masawe babu yangu,majina ya mababu.Bwashee hilo jina la Mushi Masawe limechanganya koo mbili ili kuonyesha msisitizo nini?
Sent using Jamii Forums mobile app