Uchaguzi 2020 CHADEMA hampati hata jimbo moja hapa Kilimanjaro

Moshi mjini ilikosea Sana kuwapa chadema Jimbo,na kwa hakika jambohilo wachaga hawato lirudia tena chaguzi hii

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Mkuu unazungumzia wachaga Wa wapi? Wa kishumundu, kibosho, machame, rombo au marangu?
 
Propaganda za kitoto na zakizamani sana ndio Watanzania wote wajue hicho chama cha mambumbumbu

CCM ni chama kilichoishiwa ktk kila nyanja kinasaidiwa kwa msaada wa nguvu ya vyombo vya dola
 
Mnatuangusha sana i see... Nasikia hata hotuba ya bajeti ya waziri mkuu Mbowe ameshindwa kujibu. Analeta lugha mbovu na malalamiko ambayo hayapo kwenye bajeti. Tunamsubiri hai we ngoja.
 
Nchi mnaipekeka kwenye vita vya sisi kwa sisi
 
Ulichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.

Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga

Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila Jf raha sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
TUme huru ya uchaguzi? Au kiburi chako kinatoka wapi?
 
Mkuu unazungumzia wachaga Wa wapi? Wa kishumundu, kibosho, machame, rombo au marangu?
Wote kwa ujumla wao awawezi uona Moshi inakwenda kishamba chini ya chadema na nguvu zao zote Ni uikanyaga na kuitupilia mbali,nimekua Moshi mjini kwa kipindi Cha mwezi na nusu mwaka jana nikitembea huku nakule kwenye mtaa tofauti SI majengo,njoro,kcmc,soweto,mbuyuni,rau juu na chini,ushirika,shanti,kiboriloni, mabogini hadi KDC, kote mazungumzo Ni kuichoka chadema na Sasa wanataka kuwabwaga hawaoni tofauti ya kuwa na mbunge kutoka CCM Wala chadema zaidi wanaona kukosa vingi chini ya wongozi wa chadema

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Achana naye anatafuta basha huyo sio bure.
Ulichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.

Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga

Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
CCM dawa yenu Tume Huru...najua nikitaja tume huru mnanunaa na mtanuna saana mmeshazoea kuwafanya watanzania mazezeta hawajui kitu.. sasa ni hivi...

Tume Huru ndiyo habari ya mjini...usininumie mimi kamnunie mkeo...!!
 
Huu ndio ukweli wa mambo, Tuliwaamini tukapoteza muda wetu kwa ajiri ya chama. Watoto wetu wameumizwa nyie mmebaki kujaza matumbo yenu tu.

Sasa hatutaki ukabila wala ushabiki tunamuunga mkono Rais magufuli kama ndugu yetu Mrema alivyofanya.

Mbowe hapa hai hatumtaki kabisa tena bora aache siasa arudi kupiga mziki.
Magufuli ndio rais mchapakazi tulikuwa na miaka karibu 25 hatujaona treni leo kuna treni inakuja moshi.

Jana nilikuwa natoka kimara nakuja Moshi daraja la wami linakaribia kukamilika nani awachague nyie tena? Mbowe anajinufaisha na mke wake na watoto wake tu.

Hata huku kilimanjaro tumewachoka hatuwataki tena.
Bwashee hilo jina la Mushi Masawe limechanganya koo mbili ili kuonyesha msisitizo nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia imejaa hofu hatuelewi hata tunakoelekea, Giza ni nene lakini wengine bado munawaza siasa tu.
 
aiiiseeee wewe kyasaka a.k.a Lumumba buku 7

hakunaga Mushi Masawe babangu.!

badili tena hiyo I'd...umeingia cha ki cha kikekweli
Kweli ni Lb7! Amekurupushwa akakurupuka. CDM inawatia wazimu upande ule hadi huruma.
 
Ulichokosea cha kwanza ni kujiita Mushi Masawe baada ya kufungua id mpya. Hakuna mtu ana surnames mbili.

Pili, haingii akilini mtu ambae hamumtaki anakuumiza kichwa hadi umemfungulia id mpya! Kitendo cha kujiita Mushi Masawe ni kuwa unataka kupambana na Mbowe na una lengo la kujifanya mchaga

Tatu, aliyejenga daraja la wami ni serekali na si Magufuli na juu ya yote ni kazi na wajibu wa serekali kujenga madaraja na barabara na sio privilage kwako ndugu. Wasingejenga ndio una haki kulaumu na si wakijenga, sawa?
Mkuu, ungepunguza sauti na kisha jazba kushuka labda ungeongea point.
Inawezekana sana una jambo la kusema, lakini tu umekuwa na jazba kuu.
Ebu ngoja kwanza tupambane na Cvid19, na watakao pona watakuja waendelee na siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
57:735485574777477=752555721245574/421=457=7==-=54572255742235=7744422255=72=247:654

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haahaa we mchaga Wa wapi mkuu? Kishumundu au kibosho? Maana naona umeamua kuwasemea wachaga wote hata kabla hawajapiga kura.
Umekosea hapo mkuu. Wachagga wa hayo maeneo ndio wana ajili type ya mushi massawe ?
 
Back
Top Bottom