Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Amani Msumari Unaelewa kuwa Magufuli alikuwa anabeti roho za Watanzania na alikuwa ameshaanza kuzika watu usiku wa manane ila kilichookoa jahazi ni kwamba Corona haikuzipiga nchi za Afrika kama ilivyopiga Ulaya,Asia na Marekani?
Unaelewa kuwa Corona ingekuwa serious hapa Afrika kama ilivyokuwa serious Italy Watanzania wangeisha?Unaelewa kuwa Alichofanya Magufuli siyo kupambana na Corona bali ilikuwa ni kutoa watu sadaka na ponea yetu ilitokana na Corona kutoiathiri sana nchi za Afrika?Unaelewa kuwa kilichotuokoa na Corona siyo Magufuli bali ilitokana na Corona kutokupiga sana nchi za Afrika kama ilivyopiga Asia,Ulaya na Marekani?Unawezaje kumsifu Rais aliebeti rohoo za watu?!Una akili timamu?!
Kama Magufuli hakubeti rohoo zetu na alitumia mbinu nzuri sana kupambana na corona ni kwa kivipi mbinu aliyoitumia kuzuia Corona Tanzania ingetuvusha salama kama ingetokea Corona ingezipiga nchi za Afrika Kama ilivyozipiga nchi za Asia,Ulaya na Marekani?Kwa sababu hakuna ambae alikuwa anajua kuwa Corona haitaishambulia sana Afrika,hata WHO walikuwa hawajui