Hujanielewa ndugu!Mimi sipingani na Chemistry ya Magufuli.Mimi nazungumzia uhalali wa tafiti ya Magufuli kuwa Corona ni virus dhaifu na huyeyuka kwenye joto.Unaelewa kuwa kwa mfano mimi leo hii nikigundua dawa ya ukimwi lakini WHO wakakataa kuipitisha hiyo dawa itakuwa siyo kitu wala siyo chochote hapa duniani na itapigwa pini kuuzwa na kutumika popote pale?
sasa wewe unajichanganya! magufuli hajadeal na dawa ya corona! yeye amesema scientifically virus wa corona yukoje na unaweza kumuepuka vp, thats all! hayo mambo ya dawa umesema wewe
-alafu kingine, WHO ni shirika la kusmamia afya duniani sio shirika la dawa! wao hua wanawork na mashirika mbalimbali kwenye kona nyingi za dunia haziwork na mtu mmoja mmoja!
- kingine, WHO sio standard ni imepewa kibali tu cha kuangalia mwenendo duniani
- virus characteristics hua znafanana ndo maanaa zpo kwenye class moja ya virus, meaning wana endana, so kama umedeal na virus practically meaning hata new virus akija its a matter ya kujua weak points zake na kutunga rules, but virus ni virus.
- Pia lazima ujue virus anaitwa COVID-19 sio corona, CORONA ni group ya virus. kwenye hili group wapo aina nyingi sana ya virus wote wapo kwenye group la corona, na wengi wao wanajulikana kabisa mfano: TOROVIRUS, SARS-COV, AVIAN, WHALE CORONA VIRUS W1, BETA CORONA VIRUS and many more plus huyu sasa wa saahv anaitwa COVID-19
- so ukiwa unajifunza kutengeneza treatment you deal with the virus group sio virus mmoja mmoja, ndo maaana ya kufanya PHD means upo practical, so covid ilivokuja ipo kwenye class ya corona, so in sharp unajua kabisa how to handle a virus of this group type, nadhan umenielewa!
-Lastly, dont undermine your strength cause ndo waafrika tuliko!
kuna Theory moja inaitwa Mpemba effect, inadeal na freezing of cold water and hot water, haijawahi kufanikishwa mpaka alipokuja jamaa mmoja anaitwa ERASTO MPEMBA ambae ni mtanzania , hii theory mpaka Aristostle alishindwa kama unajua philosophy lazima unamjua aristotle ama plato ama socrates! wote hawa ndo wana philiospher na wanasayansi wa kwanza kwanza duniani kabla hata ya yesu kuja
- sasa Ilibaki pending mda wote mpaka miaka ya 1960, kipindi icho alikua form 3 aliweza kuprove kwamba hot water freezes faster than cold water, na ikapita dunia nzima na mpaka leo ndo standard ya hot water and cold water freezing! nlikuuliza kuhusu mpemba effect ili nkuelezee your ability as human, mambo ya kusema sjui wazungu mpaka waseme mda umefka sasa tuachane na hizo fikra