Uchaguzi 2020 CHADEMA hawaaminiki, tuwapime kwa ishu ya Korona tu tutapata picha

Sina haja ya kusoma porojo zoote hizo,kifupi ni "ukibwetere" unakusumbua.magufuli ni kibwetere anayeangamiza "wajinga". Endelea kumfuata!
Huoni kuwa unajidharau mwenyewe? Umeshasema husoni bandiko lote means hujaelewa nimeandika nn na bado unakomenti. Nyie ndio Aina ya wanachama wa chama cha Mbowe
 
Vyuo na shule zilifungwa kuwanusuru wanafunzi, serikali ikahimiza tahadhari zote kama social distancing, kusimamisha mijumuiko kama kwenye matamasha mbalimbali, kutumia sanitizers na barakoa hadi hali ya maambukizi ilipoonekana kupungua sana. Ni hatua gani angechukua zaidi aonekane anawajali wengine?!
Hawasikii hawa hata nabii akishuka leo
 
1) WHO sio Mungu
2) Ziko wap izo maiti kwenye bahari?
3) una taarifa WHO wametimuliwa marekani?
4) Hio hoja kwamba corona inayeyuka kwenye joto sio ya magufuli, hio ndo fact!! infact sio lazima joto but ukiwa mtu wa afya nzuri u can get it na hata usijue unayo
5) je unajua mafua yanaua watu million ngap duniani kila mwaka? vp mafua hakuna tanzania?
Mimi hoja yangu ya msingi ni kwamba WHO ndiyo taasisi iliyopewa jukumu la kupitisha na kutangaza tafiti zote sahihi na halali zinazohusu magonjwa,tiba na kinga.Hatuwezi kuwa na dunia ambayo kila mtu ataibuka na tafiti yake ya uchwara kwa sababu kwa kufanya hivyo itahatarisha maisha ya watu na mfano mzuri ni kilichotokea Madagascar kwenye hii ishu ya Corona.Magufuli wa Madagascar aliibuka na tafiti yake fake matokeo yake wakaishia kupukutika zaidi kwa sababu tafiti hiyo haikuwa imethibitishwa na shirika lililopewa dhamana hiyo.

Kama kuna tiba au tafiti yoyote ile inayohusu Corona ni lazima itangazwe na ipitishwe na mwenye dhamana hiyo, tofauti na hapo hizo nyingine ni porojo za kuhatarisha maisha ya watu.Alichotangaza Magufuli haikuwa ni scientific fact kwa sababu hakuwahi kufanya tafiti hiyo na pia hakuna mtu ambae amewahi kufanya tafiti hiyo na ikapitishwa
 
Huoni kuwa unajidharau mwenyewe? Umeshasema husoni bandiko lote means hujaelewa nimeandika nn na bado unakomenti. Nyie ndio Aina ya wanachama wa chama cha Mbowe
UkibweterE sina muda nao. KWA AKILI YAKO NA DHATI UNAAMINI CORONA TUMEISHINDA KWA POROJO ZA MAGUFULI? KONTENA LA MADAGASKA LILIPELEKWA WAPI NA MATOKEO YA "UTAFITI WA MAABARA ITEMBEAYO) YA KABUDI YAKO WAPI?
Mwenzenu alipobugia na kupona ndo anawaambia pigeni maombi!!!! VIBWETERE WENGI KWELI! Endeleeni kumfuata.
 
Hahahaha lakini nchi kuwa na vijana ka 1000 maambukizi ya ujinga na upumbavu yata zagaa....Wabunge wa CCM hawa kujikarantini walikuwa busy tutafuta tiba ya corona bungeni eti??
 
kwa nini ukienda muhimbili unalazimishwa uvae barakoa na unawe mikono?...Sio muhimbili tu kuna baadhi ya office, viwanda, vyuo n.k lazima uwe na barako if corona hamna hayo mabarakoa ya nn mnalazimisha watu wavae?
 
Kuna wanavijji huko bado wanasubiri 50M tangu 2015 chama chetu kilivyoingia madarakani. tuanze kujipima sisi wenyewe kwanza!!
 
Mimi hoja yangu ya msingi ni kwamba WHO ndiyo taasisi iliyopewa jukumu la kupitisha na kutangaza tafiti zote sahihi na halali zinazohusu magonjwa,tiba na kinga.Hatuwezi kuwa na dunia ambayo kila mtu ataibuka na tafiti yake ya uchwara kwa sababu kwa kufanya hivyo itahatarisha maisha ya watu na mfano mzuri ni kilichotokea Madagascar kwenye hii ishu ya Corona.Magufuli wa Madagascar aliibuka na tafiti yake fake matokeo yake wakaishia kupukutika zaidi kwa sababu tafiti hiyo haikuwa imethibitishwa na shirika lililopewa dhamana hiyo.

Kama kuna tiba au tafiti yoyote ile inayohusu Corona ni lazima itangazwe na ipitishwe na mwenye dhamana hiyo, tofauti na hapo hizo nyingine ni porojo za kuhatarisha maisha ya watu.Alichotangaza Magufuli haikuwa ni scientific fact kwa sababu hakuwahi kufanya tafiti hiyo na pia hakuna mtu ambae amewahi kufanya tafiti hiyo na ikapitishwa
WEWE NI MIONGONI MWA WAHUNI WA CHADEMA SASA JIBU SWALI CORONA IPO KWA KIWANG AMBACHO CDM WALIZUSHA?
 
Watu wa aina yako ndio huchagua mke kwa kuangalia ukubwa wa tako tu
 
walivyo kimbia bungeni kihuni walikuwa na maana gani
Mwanzoni hakuna mtu ambae alikuwa anajua kuwa Corona haitazishambulia nchi za Afrika kama ilivyoshambulia nchi za Ulaya,Asia na Marekani. Hata WHO wenyewe walikuwa hawajui.

Kwa hiyo watu wenye akili timamu na watu makini kama chadema ilikuwa ni muhimu sana wachukue tahadhari zote zilizokuwa zinatakiwa kadri inavyowezekana ikiwa ni pamoja na kuiikimbia mikusanyiko ya bunge na baada ya kugundulika kuwa Corona haizishambulii nchi za Afrika kama inavyozishambulia nchi za Ulaya,Asia na Amerika ndipo kujiachia ikawa ruksa.
 
Sasa mbona mnawabeza CHADEMA kwa kufuata hatua za tahadhari?
HAKUNA mwana chadema aliyechukua tahadhari, wabunge walitoka bungeni wakaenda kula Bata dar, makonda akasema atawakamata Kama Malaya wanaojiuza, wakatoka mbio kurudi dodoma.
Sasa hiyo ilikuwa karantini kweli?
 
tena hio sera hawana tena hakymungu namnaa walivotoka bungeni kwa matambo na mbwembwe.mimi binafsi niliogopa nikasema mungu wangu wabunge waliobak watapukutika.
sasa hiv nikiri waz sijasikia sera ya Chadema kuhusu madin wala chochote zaid ya drama
 
Mimi hoja yangu ya msingi ni kwamba WHO ndiyo taasisi iliyopewa jukumu la kupitisha na kutangaza tafiti zote sahihi na halali zinazohusu magonjwa,tiba na kinga.Hatuwezi kuwa na dunia ambayo kila mtu ataibuka na tafiti yake ya uchwara kwa sababu kwa kufanya hivyo itahatarisha maisha ya watu na mfano mzuri ni kilichotokea Madagascar kwenye hii ishu ya Corona.Magufuli wa Madagascar aliibuka na tafiti yake fake matokeo yake wakaishia kupukutika zaidi kwa sababu tafiti hiyo haikuwa imethibitishwa na shirika lililopewa dhamana hiyo.

Kama kuna tiba au tafiti yoyote ile inayohusu Corona ni lazima itangazwe na ipitishwe na mwenye dhamana hiyo, tofauti na hapo hizo nyingine ni porojo za kuhatarisha maisha ya watu.Alichotangaza Magufuli haikuwa ni scientific fact kwa sababu hakuwahi kufanya tafiti hiyo na pia hakuna mtu ambae amewahi kufanya tafiti hiyo na ikapitishwa

umesoma arts ama science?
- Chemistry ni universal subject, ulichosoma Tanzania ndo kilichopo sehem zingine duniani hakuna chemia ya watanzania na kemia ya WHO:
- kama sulphuric acid(H2SO4) inaunguza mbao , tanzania na WHO itafanya ivo ivo, ndo maaana wanasayansi ni muungani dunia nzima sio shirika la WHO

- Nkupe mfano, ulishawahi kuskia mpemba effect?
 
Back
Top Bottom