Haaa hilo ndio la msingi. Niko natunza bando langu mkuu saa saba nimsikie fundi kutoka ubelgiji.Angalia bando lako kama linatosha, saa nane sio mbali...
Et kupitia chadema...kwaiyo chadema ndyo media? Au chombi cha habari?We fikiria hadi Mmawia huyu wa hapa jf anaweza kuhutubia taifa kupitia chadema!
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious,
Nimecheka sana anavowatangazia watu atawafil*Umesahau! CCM hadi Musiba anahutubia taifa
Kawahi, Tena zaidi ya mara 10.hakuna hajawahi
Weka clip ya diwani wa chadema, nami nitakuwekea ya Musiba.weka clip ushahidi wa Musiba kuongea na taifa hakuna kitu kama hicho
Weka ushahidi hapa kama Tundu Lisu kawasiliana na uongozi wa juu wa Chadema na kupata kibali cha yeye kuhutubia taifa
Kabisa na sifa kuu ya chama mfu ni wanachama kukosa nidhamu na kutojali protocol ndani ya chama.Chadema wanachama nidhamu hawana na hawajali protocolWapinzani wamelaaniwa. Hilo li chama ni mfu halipo, zimebakia tu mizimu. Na siku zote ghost zinasumbua