CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

Mpaka sasa makada mliomuanzishia TL mada mmefikia 14

Jr[emoji769]
 
Na pole pole naye ni mwenyekiti wa mbogamboga
 
Kuhutubia taifa ni nini?

Nikitangaza kesho nahutubia taifa kupitia Facebook, halafu nikafanya Facebook live, hapo nimehutubia taifa?

Na ukitaka kunikataza kwa kutumia haki yangu hiyo ya kikatiba unaanzaje?

CHADEMA inawezaje kuwakataza watu kutumia haki yao hiyo ya kikatiba, na bado kubaki chama cha demokrasia?

Magufuli anavyosema atawapiga mpaka Shangazi za wapinzani ndiyo anafuata protocol?
 
Chama kikiongozwa na walevi na watetea mashoga unategemea nn
 
Kuhutubia Taifa kwa kiongozi yeyote wa chadema kwa njia yeyote bila ridhaa ya mwenyekiti chadema Taifa Ni utovu was nidhamu na kudharau protocol
 
wewe unapendekeza nani aongee ccm bhana mpaka upate nakala ya barua aruhusiwe kuongea
 
Wanaokimbia wanasemaje vile ?
 
Haya nenda kachukue buku zako 7 lumumba
We fikiria hadi Mmawia huyu wa hapa jf anaweza kuhutubia taifa kupitia chadema!
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…