CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

Chadema Kama wako serious kitendo Cha Lisu kutoheshimu protocol Ni sababu tosha ya kumpiga chini kutomteua ugombea uraisi
 
Umezaliwa lini na lini ulianza kufuatilia siasa za ndani na nje ya nchi? Wakati mwingine kutojua mambo ndio inaweza kuwa sababu ya kupoteza muda wako kuandika ujinga ambao haustahili hata yale malipo yenu ya buku tatu!
 
Naona leo hii mtalala na magwanda yenu baada ya kumsikiliza raisi wetu watanzania baada ya uchaguzi wa October 2020
We fikiria hadi Mmawia huyu wa hapa jf anaweza kuhutubia taifa kupitia chadema!
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious,
 
Nasikia form ya uraisi kwao imechapishwa mooja tu, dadeeki
Ndo inashangaza wapo wanaohutubia kwa matusi na visasi huko kwenu na wote mmenywea
 
Chadema ni kagenge kawahuni
 

Tafadhali nipe tafsiri yako ya maana ya KUHUTUBIA TAIFA. Over
 
Kuhutubia Taifa kwa kiongozi yeyote wa chadema kwa njia yeyote bila ridhaa ya mwenyekiti chadema Taifa Ni utovu was nidhamu na kudharau protocol
Protocol gani? Iweke hapa na source yake. Na unajuaje mwenyekiti hakutoa ridhaa? Na kwa nini ridhaa ya mwenyekiti, mtu mmoja, ihitajike, katika chama cha kidemokrasia?

Huoni kwamba katika chama cha kidemokrasia mwanachama kuhutubia tu akihitaji ridhaa ya mwenyekiti ni udikteta? Unataka afuate protocol au afuate ridhaa ya mwenyekiti? Mtu akiwa kafuata protocol lakini hana ridhaa ya mwenyekiti hapo itakuwaje?

Hujanijibu, Magufuli kusema atawapiga mpaka Shangazi za wapinzani alifuata protocol?
 
Chama Ni taasisi .Taasisi imara Ina protocols sio kila mtu anajiibukia tu kuhutubia Taifa kwenye chama
 
Chama Ni taasisi .Taasisi imara Ina protocols sio kila mtu anajiibukia tu kuhutubia Taifa kwenye chama
Nimekuambia uweke hapa hiyo protocol unayoiongelea, unajibaraguza tu.

Weka kipengele kwa kipengele. Tujadili.Usizushe maneno ya upumbavu wako tu.

Magufuli alivyosema atawapiga mpaka Shangazi wa wapinzani wake alitumia protocol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…