CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100%

Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU, Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa, hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa.

Screenshot_2023-12-06-15-43-24-1.png
 
Kwa hiyo ndio mnakumbuka saizi?halafu pia watu wanataka wajuwe usalama wa pesa zao utakuwaje maana watu bado wanakumbuka na kumbukumbu nzuri juu ya upigaji wa pesa za join the chain ambazo mpaka sasa haijulikani Zilipatikana kiasi gani wala haijulikani zipo wapi au zilifanya kazi gani.

Watu hawana imani na CHADEMA linapokuja suala la hela . Chadema ni waroho na walafi sana kwenye hela na huwa hawana huruma kutumia fursa kwa ajili ya kutafuna kama mchwa.
 
Wazee wa harambee, mwisho wa siku kapu lina pigwa 10% na mmiliki

Ni utani tu, ni jambo zuri kila mtu atumie ushawishi nguvu akili na maarifa kufanikisha swala hili kwa watu wa hanang - katesh
Unafikiri yatatokea kama yale ya michango ya tetemeko la Kagera! Siyo kila mtu hapa duniani ana roho mbaya.
 
Kwa hiyo ndio mnakumbuka saizi?halafu pia watu wanataka wajuwe usalama wa pesa zao utakuwaje maana watu bado wanakumbuka na kumbukumbu nzuri juu ya upigaji wa pesa za join the chain ambazo mpaka sasa haijulikani Zilipatikana kiasi gani wala haijulikani zipo wapi au zilifanya kazi gani. Watu hawana imani na CHADEMA linapokuja suala la hela . Chadema ni waroho na walafi sana kwenye hela na huwa hawana huruma kutumia fursa kwa ajili ya kutafuna kama mchwa.
Pesa za michango tetemeko kule Kagera, mlipeleka wapi baada ya CCM kutuchangisha?
 
Kwa hiyo ndio mnakumbuka saizi?halafu pia watu wanataka wajuwe usalama wa pesa zao utakuwaje maana watu bado wanakumbuka na kumbukumbu nzuri juu ya upigaji wa pesa za join the chain ambazo mpaka sasa haijulikani Zilipatikana kiasi gani wala haijulikani zipo wapi au zilifanya kazi gani. Watu hawana imani na CHADEMA linapokuja suala la hela . Chadema ni waroho na walafi sana kwenye hela na huwa hawana huruma kutumia fursa kwa ajili ya kutafuna kama mchwa.
Unatia aibu ukiwa upande gani wa Nchi ?
 
Kila mmoja aliona namna miundombinu bora na mizuri namna ilivyojengwa na kuvutia
Ni kweli pesa zilitumika kujenga miundombinu ya umma kama mashule, hosptali nk ili watu au wananchi waendelee kupata huduma za kijamii kwa haraka/wakati Katika kipindi kile kigumu
 
Unatia aibu ukiwa upande gani wa Nchi ?
Hakuna anayewaamini CHADEMA kwenye pesa maana majibu ya pesa za join the chain mpaka leo ni giza nene na mwanga kwa viongozi wa CHADEMA ambao ndio wanufaika wakubwa katika kuneemesha matumbo yao na familia zao huku chama kikibaki kimekondeana. Hapo mmeona muanzishe harambee ili mpige tena. Kwanini msingechota kwenye chama? Kwamba chama hakina pesa ? Kwa hiyo mlikuwa mmeuchuna na kukaa kimya mkipanga mikakati ya kuwachangisha wananchi? Kwanini muanzishe zoezi la kuomba michango wakati zoezi la join the chain hamkuleta mrejesho?
 
Unatia aibu ukiwa upande gani wa Nchi ?
Hakuna anayewaamini CHADEMA kwenye pesa maana majibu ya pesa za join the chain mpaka leo ni giza nene na mwanga kwa viongozi wa CHADEMA ambao ndio wanufaika wakubwa katika kuneemesha matumbo yao na familia zao huku chama lilibaki kimekondeana. Hapo mmeona muanzishe harambee ili nipige tena. Kwanini msingechota kwenye chama? Kwamba chama hakina pesa ? Kwa hiyo mlikuwa mmeuchuna na kukaa kimya mlipanga mikakati ya kuwachangisha wananchi? Kwanini muanzishe zoezi la kuomba michango wakati zoezi la join the chain hamkuleta mrejesho?
 
Kwa hiyo ndio mnakumbuka saizi?halafu pia watu wanataka wajuwe usalama wa pesa zao utakuwaje maana watu bado wanakumbuka na kumbukumbu nzuri juu ya upigaji wa pesa za join the chain ambazo mpaka sasa haijulikani Zilipatikana kiasi gani wala haijulikani zipo wapi au zilifanya kazi gani. Watu hawana imani na CHADEMA linapokuja suala la hela . Chadema ni waroho na walafi sana kwenye hela na huwa hawana huruma kutumia fursa kwa ajili ya kutafuna kama mchwa.
Punguza ujuaji wa kureply,si lazima kila post ujibu na wewe.Mengine uachage ya kupite kama huna cha maana cha kuchangia.
 
Hakuna anayewaamini CHADEMA kwenye pesa maana majibu ya pesa za join the chain mpaka leo ni giza nene na mwanga kwa viongozi wa CHADEMA ambao ndio wanufaika wakubwa katika kuneemesha matumbo yao na familia zao huku chama lilibaki kimekondeana. Hapo mmeona muanzishe harambee ili nipige tena. Kwanini msingechota kwenye chama? Kwamba chama hakina pesa ? Kwa hiyo mlikuwa mmeuchuna na kukaa kimya mlipanga mikakati ya kuwachangisha wananchi? Kwanini muanzishe zoezi la kuomba michango wakati zoezi la join the chain hamkuleta mrejesho?
CCCM haiaminiki, ndomana wananchi wawawezi kubali kuwapa michango!!
 
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang , ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali , hata kama siyo kwa 100%

Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU , Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa , hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa .

View attachment 2834645
Wajinga ndio waliwao.rekodi ya upigaji ya Chadema mnaijua vizuri kwenye michango eg join the chain.😂😂
 
Back
Top Bottom