Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100%
Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI SANA MBELE ZA MUNGU, Mwenyezi Mungu anawaongezea mara dufu wale wenye kutoa, hivyo basi twawaomba watu wote duniani kujitolea michango ya hali na mali ili kusaidia wenzetu hawa.