CHADEMA ifanyeni Hoja ya Mh Mchengerwa, Mkwe wa Rais Samia kua Msimamisi Mkuu wa Uchaguzi ( TAMISEMI) kua Hoja Kubwa , itaeleweka Kwa haraka !!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka.


Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi.




Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii.


Hii ni Hoja nzito Sanaa .

Kwanza Waziri anayehusika na TAMISEMI ni Mkwe wa Rais, je atakubali Mama Mkwe wake ashindwe??.
 
Wahusika Wamekusikia
 
Ulitaka NDOA ivunjike kabla ya Uchaguzi Ili kuzima UKWELI wa HOJA Yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…